Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Mkuu JP Omuga, sisi watu wa precognition, premonition, na de javu, hatudharau kabisa taarifa kama hizi, please tembelea bandiko hili

Kama wewe ni mmoja wa watu hawa, hii taarifa yako tumpelekee Masanja Kadogosa aifanyie kazi. Mv Bukoba; kuna watu walipata hisia kama hizi, wakazisema, wakapuuzwa, hivyo hawakupanda MV Bukoba, lilipotokea la kutokea, wakakumbusha.

Hivyo taarifa yako hii ni muhimu sana.
P

Sijuhi tu janga litatokea lini, baina ya stesheni ipi na ipi lakini kila nikifumba macho naliona!
Naona wazi viongozi wetu watakavokuwa kuwa wanashindana kutema mate kwenye Tv wakiahidi kutokujirudia kwa janga kama hilo huku wakitoa rambirambi za maneno na fedha kwa familia za wahanga!
 
Naomba unieleweshe, hivi Ufo Saro aliyekuwa mtangazaji wa ITV alishafariki?
Hii Treni Mara ya mwisho kufanya kazi Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Mbunge wa Moshi vijijini Ndg Augustine Lyatonga Mrema wakati huo Ndg Magufuli alikuwa zake Viwandani Mwanza

Kwa niaba ya Ndugu zangu wa kichaga wenye roho za Mengi na wenye roho ya Ufo saro tunakupongeza sana
 
Hakuna usafiri unaoweza kushindana na train duniani kibiashara.

Embu tujaribu ku google.

Mfano mdogo tu wa nchi za wenzetu bei ya ndege kutoka Glasgow to London ukifanya booking mapema kwenye budget airline unaweza kupata return ticket kwa £60-100 safari dakika 90.

Bei za bus ni £30-£90 return safari 8-10 hrs

Bei ya train minimum £138 return safari 4 hrs+ depending train inasimama vituo vingapi. Na mara nyingi kila train inayoondoka inakuwa na abiria wengi wa London kushinda ndege.

Isitoshe train bado aiwezi kosa abiria, sababu ni nyingi sana kwanza kuna uwezo wa kuchukua watu wengi wenye mizigo mikubwa, abiria wanaoenda umbali tofauti, kujinafasi, huduma za ndani, kwa bongo nauli, probability za kupata usafiri wa uhakika.

Mtu anayefikiria masaa 19 tu ya kutoka Dar to Moshi anapotoka, wakati kuna abiria anaweza pandia Mombo anakwenda Moshi abiria wanaoishia na kupandia kati ndio wanaoifanya biashara ya train kushamiri kutokana na economies of scale, achilia sababu zingine kama za kiuchumi.

Ni utoto kubishana usafiri wa train auna faida.
 
Mafisadi waliowania Urais Chadema 2015
Mafisadi waliokaribishwa na wapinga ufisadi yakawania urais 2015
kisha yakarudi ufisadini CCM baada ya kuikata mdomo Chadema isiweze kukemea ufisadi tena
 
19hours for 600km?
Unasema maendeleo?
Yes it's a leisure trip for enjoyment.
Nenda Ujerumani na Netherlands hadi kesho they stll run steam engine train periodically just for leisure. Kwa sisi tuliopanda gari moshi, tukiangalia video kama hii ni mpaka raha


P
 
Kwahiyo wewe una akili kuliko akina bwashee 294 waliosafiri jana?!!
Kila mmoja wetu ana kiwango chake cha ufahamu.. yawezekana wewe ikawa mdundiko au mdumange upitao mtaani ukaufuata pasi kujua uendako, nani atakuzuia zaidi ya kukushangaa, lakini wako watakaokushangilia na kujiunga nawe upotevuni!! Kuna kufikiri na kuna kufikiria...
Mfano: ndio maana nyakati za mwenge na sherehe zingine za kitaifa watu (wachezangoma) hutolewa vijijini na kwingineko hulazwa sakafuni katika madarasa ya shule kwa kulipwa ulabu kwa sifa ya kusafiri na uzalendo huku wenzao wakilala 5star pasi kuumwa na mbu... kweli tunatofautiana maana ambaye anafananisha treni za mikoani na hii ya Dar...
Usifananishe nyati na nyumbu...
 
Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.

Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.

Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.

Source ITV habari!
Tutamuelewa mbunge wa Kilwa Mheshimiwa Bwege muda si mrefu... mwishoooooniiiii wataachia....
 
Yes it's a leisure trip for enjoyment.
Nenda Ujerumani na Netherlands hadi kesho they stll run steam engine train periodically just for leisure. Kwa sisi tuliopanda gari moshi, tukiangalia video kama hii ni mpaka raha


P

Mkuu kweli ni raha lakini jee kuna uhakika endelevu wa safari hizo? Miundombinu ni salama? Ama tutarajie mikwamo na majanga ya Manyoni-Saranda?
Je wasafiri wamekatiwa bima? Ama ni yaleyale?
 
Kwa hiyo mpaka CCM itajwe kwa reli iliyojengwa na mkoloni..kwani wajibu wa serikali ni nini?
 
Ukipunguza mhemko na maspidi utakuja andika vitu vya maana...
Swali: unadhani kutoka KIA kwenda Moshi ni umbali gani? Maswali ni mengi lakini sikuulizi zaidi ya hapo...
Kapandeni ndege sasa, mnapiga kelele za nini si mna haraka
 
Je kabla ya hizi mbwembwe mmejiridhisha ni salama na uhakika au ni yaleyale? Hivi mmewahi kupanda hizi treni mkaijua adha yake? Zilikuwapo na huduma zilikwenda zinadorora hadi wanaojitambua wakazisusa na kutumia njia mbadala (kisingizio ikawa wenye mabasi ndio wanahujumu - hivi nani anataka akae njiani wiki au zaidi pasi kukusudia? Pasi hisani ya Jeshi la Wananchi watu wameshaadhirika sana na hiyo TRC)
Pandeni kwanza ninyi mtatupa mrejesho mwezi April nasi tuunge mkono juhudi na shirika letu...
Sumu haijaribiwi kuonjwa...
Kapande ndege sasa kwani mmelazimiswa kupanda treni, uamuzi ni wako kuna treni, bus, ndege au usafiri binafsi mbona kigoma hawapigi kelele kuna treni ambayo dar to kigoma zaidi ya masaa 48 kuna bus masaa 24, kuna ndege masaa kama mawili hivi ila hawapigii kelele
 
Kapandeni ndege sasa, mnapiga kelele za nini si mna haraka
UNAPAYUKA SANA SIKUSIKII... BADO HUJAJIBU SWALI "KUTOKA KIA HADI MOSHI KUNA UMBALI GANI?" kabla hujajibu rejea hoja yako iliyosababisha hilo swali...
 
Hapa kwenye Train Mheshimiwa Magufuli amecheza heko..

Watu watapinga watasonya na kutoa mapovu lakini train itasaidia kuzimua uchumi kiasi Fulani....

- Mtu atafanya shughuli mchana anasafiri usiku

- Train stations Kahe,Moshi,Kisangiro na Same to mention but a few zitachangamka kwa Biashara ndogondogo na mabodaboda na taxis ...

- Vitu Kama cement,mabati,aluminium,nondo na vyuma mbalimbali tunategemea vitapungua Bei kwani usafirishaji itakuwa cheap.

- Imeiongeza ajira

- Na ofcourse kupanda train is all about adventures also. Sio abiria wote wanapenda kusafir kwa Kasi ya mwanga (speed of light) ..wapo wanaotaka mwendo wa konokono huku wanainjoi mazingira..

Kwahiyo tukosoe serikali lakini ijifanya vizuri Kama hivi tuipe kudos.

Na wapingaji wengi Hapa Ni wenye mabasi
 
Watu wanasema treni gani inatumia masaa 17,bora wakapande gari za magazeti!
Mkuu kuna watu humu hawana jema kabisa hii treni itakua mkombozi kwa wasafiri bus zenyewe ni zaidi masaa 10 kutoka dar-moshi
 
Back
Top Bottom