Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mkuu JP Omuga, sisi watu wa precognition, premonition, na de javu, hatudharau kabisa taarifa kama hizi, please tembelea bandiko hili
Kama wewe ni mmoja wa watu hawa, hii taarifa yako tumpelekee Masanja Kadogosa aifanyie kazi. Mv Bukoba; kuna watu walipata hisia kama hizi, wakazisema, wakapuuzwa, hivyo hawakupanda MV Bukoba, lilipotokea la kutokea, wakakumbusha.
Hivyo taarifa yako hii ni muhimu sana.
P
Sijuhi tu janga litatokea lini, baina ya stesheni ipi na ipi lakini kila nikifumba macho naliona!
Naona wazi viongozi wetu watakavokuwa kuwa wanashindana kutema mate kwenye Tv wakiahidi kutokujirudia kwa janga kama hilo huku wakitoa rambirambi za maneno na fedha kwa familia za wahanga!