Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sisi majumbani mwetu hatuishi kwa treni, tunatakiwa tuishi kwa afya njema (siku hizi watu wananunua robot ya dozi wanayoandikiwa na dakitari!), milo mitatu kwa siku, maji safi na usalama, elimu inayokidhi mahitaji ya sasa na makazi bora. Na waondoke kama alivyoondoka mwingereza.Najiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Ndiyo miye nashangaaNajiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Kwani mizigo ilikuwa haifiki ?!Sasa wewe utaona faida yake kweli?
Wafanyabishara wanaosafirisha mizigo yao ndio wenye shida nayo na ndio watakaona faida yake
Aibu tupuSisi majumbani mwetu hatuishi kwa treni, tunatakiwa tuishi kwa afya njema (siku hizi watu wananunua robot ya dozi wanayoandikiwa na dakitari!), milo mitatu kwa siku, maji safi na usalama, elimu inayokidhi mahitaji ya sasa na makazi bora. Na waondoke kama alivyoondoka mwingereza.
Umesikia kaskazini kuna shida ya usafiri?Ulitaka tusishangilie maendeleo, Hili lilikuwa jambo la kupiganiwa na Mbunge wenu, lakini yeye na Chadema hawakuliona hilo.
Imechukua miaka 30 serikali ya ccm kupeleka treni arusha! Haya ni maajabu sana!Mzee wa tutashitakiwa MIGA anasemaje?
Kati ya miaka hiyo 30, miaka 20 kipenzi chetu alikuwa Waziri na mitano mingine akawa Rais mpendwa mbobezi wa kutumbua, kuteua na kutengua. Muda wote wa miaka zaidi ya 100, reli (permanent way) hiyo haukuwa na tatizo lolote bali uongozi mbaya ambao bado unaendelea wa Mashirika ya umma yote. Reli hiyo kabla ya Uhuru wa Tanganyika na muda mfupi baada, ilifanya kazi nzuri sana ya kusafirisha mizigo na abiria hasa wanafunzi maana shule zilikuwa chache na umbali mkubwa. Tunahitaji Uhuru mwingine!Hivi hawa waliosababisha treni hizi kutotoa huduma kwa zaidi ya miaka 30 ni nani hasa, TLP au Chadema? Wanastahili walaaniwe kabisa!
SWALI: Nani alifanya huduma za treni zikakosekana kwa miaka 30? Nyumba mbooe wenyewe halafu mkiijenga tena kinaonekana kitu cha ajabu!!! Aibu kwenu CCMAsanteni kwa hili, ila Oktoba wembe ni ule ule.
Ile ya abiria ipo inapiga kaziTren la mzigo kuingia Arusha.............. na ile ya abiria ilienda wapi baada ya kile kiberenge kuwaua wale mainjinia? Mungu tusaidie
Mpaka sasa hivi ni miaka 30 Chadema haijaweza kujenga Ofisi ya Makao Makuu.Kama imechukua miaka 30 serikali ya ccm kupeleka treni arusha je itachukua miaka mingapi serikali ya ccm kuivusha Tanzania kutoka kwenye lindi la umaskini?
Lissu ni chaguo pekee!
Mpaka sasa hivi ni miaka 30 Chadema haijaweza kujenga Ofisi ya Makao Makuu.
Sio wembe ni Panga Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asanteni kwa hili, ila Oktoba wembe ni ule ule.
Sasa umekubali kuwa miundombinu unaboresha maisha ya watu. Hongera, akili zinarudi.Asanteni kwa hili, ila Oktoba wembe ni ule ule.
jamaa anatamani kunenepesha ngombe wakati huu wa mnada sema tu nyasi zimekaukaAsanteni kwa hili, ila Oktoba wembe ni ule ule.
Maskini Mzee Sabodo! Hakujua anadeal na wahuni!Wajenge mradi wa pango ufe? Hilo cdm watasubiri sana, yule mhindi sabodo alichangia ofisi mpaka alinyanyua mikono.
Nafikiri waliondoka na wataalamu wa uendeshaji na pia wakagoma kununua malighafi waliziokua wanabeba Bara kupereka Viwandani kwao ulaya.Waliondoka na treni na reli waliibomoa?