Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Hata picha inaonesha hapo aseee bonge la nyomi, namuona mkurugenzi bibi wewe ukiwa unatoa mawaidha ya namna ya kupanda, aaaaf hyo picha ya juu imependeza sana aseee
 
Tundu Lissu kesho atakuwa Arusha kupata udhamini wa wapiga kura,agombee Urais.
Ndio utajua kuna watu Arusha!
Treni hiyo leteni,ilikuwepo toka Ukoloni.
 
Safi, kazi iliyobaki ni kuwashawishi vijana ambao wengi ndo wapiga kura na wanategemea bodaboda kuwa reli iliyofufuka ina manufaa gani kwao. Waambiwe kabla haijafa ilikuwaje, kwann ikafa na kwann imefufuka.
 
Wasijisifu kama wamefanya kitu kipya bali wajite kwa kutuletea hasara na umasikini.
Nani sasa mana miaka 30 iliyopita tulikua tuna chama kimoja technically kila mtz alikua Ccm nani sasa alaumiwe ?
 
Nani sasa mana miaka 30 iliyopita tulikua tuna chama kimoja technically kila mtz alikua Ccm nani sasa alaumiwe ?
Hukuwahi kusikia misemo ya "Zidumu fikra za Mwenyekiti" au "CCM ina wenyewe". Kwa misemo hiyo tu wengine wote walikuwa takataka. Kwa vijana walijiunga na CCM ili wapate nafasi za kusoma vyuo vikuu na kupata ajira serikalini na mashirika ya umma, lakini siyo kwamba walikuwa wanakubaliana na sera zilizokuwepo.
 
Huu uzi utaukuta jukwaa la mapishi kama utashindwa kuleta picha
 
Kazi zipi hizo?
Kama ni Hosoitali tumejenga
Kama ni shule zimejengwa na kukarabatiwa
Kama ni masoko tumejenga
....The list is on Amigo
Kuajiri hawa wahitimu wa vyuo mmeajiri wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…