kwanini wadanganye watu firsthand kwamba umeme ukikatika abiria hatojua. unajua maana ya hiyo statement? hakuna excuse katika hilo. ingekua TZ ndio nchi ya 1 duniani kuja na huu mradi hizo excuses zingekua viable. tatizo tuna watu wapumbavu wapumbavu na wababaishaji.
 
sina cha kuongezea.
umemaliza yote.
lini serikali imeendesha vitu vyake kwa ufanisi? jibu HAKUNA
 
Hata mimi wakati namposa mke wangu niliambiwa msichana hodari sana na mpole lakini baada ya kuchukuwa jumla nimegunduwa kinyume hivi narekebisha....
 
Usikute umoja wa wamiliki wa mabasi wameanza kupenyeza rupia wahujumu, abiria warudi kwenye mabasi maana trip 1 ni abiria wa mabasi 15, trip 4 basi. I mabasi 60,unadhani wao wanafurahi!!!!?

Lakini pia usikute kuna wasenge wanataka waharibu iwe kama mwendokasi kesho na keshokutwa wabinafsishe

Ama uzembe tu wa wabongo makazinj, wabongo tuna kaujinga fulani ka kutokujali, kila kitu kwetu ni poa poa... Nina mashaka hata pale tren zinaposimama na kusubiri zipishane ipo siku utatokea uzembe vyuma vitaingiana uso kwa uso. (mungu aepushe mbali)
 
Ccm haijawahi kusimamia mradi wowote wa maana ukafanikiwa

Ccm ni laana wanachoweza ni kukimbiza mwenge, wizi, rushwa, na ufisadi.

Sgr itaendelea kusuasua kama mwendo kasi na atcl.
 
izimike au iwake, ila tunayo. wachawi mna roho mbaya sana hamtakagi maendeleo. kuna watu wengine hawana hata ndumba ila wanaomba Mungu usiku na mchana mradi ufeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…