Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Umeme uko wapi hapo?Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...
Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...
MAMA ANAUPIGA MWINGI.
View attachment 2442562
Sijui kusoma nisomeeUmesoma tangazo vyema?
Ila bongo sio 😄😄😂Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...
Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...
MAMA ANAUPIGA MWINGI.
View attachment 2442562
Huu ni ukorofi tu, sasa ndio uweke picha ya treni halisiThis is africa😂
Hivi sisi watanzania tumemkosea nini MUNGU?Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi...
Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli...
MAMA ANAUPIGA MWINGI.
View attachment 2442562
Aiseee! wao wanasemaje? kweli Tanzania kichwa cha mwendawazimu....Njia ya treni ni Standard gauge kweli mkuu, lakini hayo mabehewa (locomotives) ya Mtumba ndio SIO ya UMEME. AS USUAL, TUMEPIGWA BIG TIME.
Hii umeme wameunganishia kwenye reli.Hii sio ya umeme hii.
Uzuri wa hii nchi bhn, watu wanapga matukio mchana kweupe na hakuna wa kumuuliza. Tutasahau na hili tu watu walpga mshndo kpnd icho epa wengn wakasema mil 500 ela ya mbogaHuu ni ukorofi tu, sasa ndio uweke picha ya treni halisi
Wanaweka LUKU ya aftatu lazima abiria walale njiani umeme ukiishaNaona hapo inaserereka baada ya luku kukata maana inakula umeme iyo
KutaliiTunaenda moro kufanya nini Mad?
Acha kudandanya watu, kama hujui siungeuliza uelekezwe?
Unafanisha treni ya Tanzania na speed train? google hapo uone tofauti
Watakufa wavuka kwa miguu wote na ng'ombe zao hapo Morogoro.Hii umeme wameunganishia kwenye reli.