Treni ya umeme naona imeanza kazi

Walikuwa wanayasogeza hayo mabehewa mapya kutoka kule bandarini...

Behewa za SGR zinaweza kuvutwa na kichwa hata cha Diesel...
Hicho kichwa kinachovuta ni cha mgr na sio sgr
 
Hivi tumemkosea nini mungu sisi watanzania? CCM na watu wake ni tatizo kubwa sana nchi hii kuliko chochte! Kiukweli inaumiza sana na hakuna chakufanya
 
Tatizo bei za nauli walizopropose TRC ni mara mbili ya mabasi...Latra wawaokoe maana zikipita hizo bei hiyo Reli itakufa kabla haijaanza labda waforce kuwaondoa mabasi kama mwendo kasi.
Huhuhuhu wajinga sana
 
Ina maana mabehewa SGR hata kwenye MGR yanapeta tu.

Hiyo siyo reli ya SGR ila mabehewa ndiyo yale ya 2B each.

Halafu nilifikiri miundombinu itakuwa rafiki hadi kwa wenye ulemavu.

Mwenye wheelchair anatoboa kweli kwa hizo ngazi za milango?
 
Wangesema hivi mbona isingeleta shida Kama Sasa.Mambo yakishaingiliwa na siasa inakuwa shida Kwa kweli [emoji3]
 
Serikali bora ingeleta mabasi tu kama [emoji116] kuliko zile Train. Ziko very slow motion.

Nini maoni yako? Achana na pisi ya hapo pembeni [emoji3].
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] zile bna ziko slow sana alafu tumepigwa pale.
 
Kama ndio hiyo ni Treni ya Mwenda wa Kasi
MAMA ANAUPIGA MWINGI.Kazi iendelee........Lohhhhhh....... Wa-Tanzania mumewazidi hata Wa-Kenya kwa Treni yenu nzuri tena ya Mwendo waKasi....hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…