Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

Wataihujumu kama kawa
 
Hakuna cha kuwapongeza, tuliwaajili wafanye hayo. chawa mkubwa we πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Pili, masaa mawili km 192 km ni muda mwingi sana. Ulaya ni 300km/hr. Ilibidi iwe less tha an hour. Bado waliiba hela wakaleta mikweche.,
Rail yetu sio high speed railway mkuu.
Hio 300km/h ni high speed
 
Wathubutu tu kuropoka hivyo, Tuwakate masikio. Pumbavu.
 
Kaka hawajui , hawaangalii high speed railway za China ni madaraja tuu.

Afu high speed railway ni expensive sana ujenzi , yenyewe kwa wachina ambao wanasema wanajenga kwa bei ndogo , 1km ni dollar million 2.5 wakati ya kwetu hii ya kawaida ni dollar million 1.3 kwa 1km.

Higb speed railway ni expensive kwa kununua train inawezekana hata bei yake ni mara 3 ya hizi zetu.
Na nauili ni bei kubwa yani utakuta hapa dsm mkp moro ni 25k kwa siti moja.
Bongo hii watapanda kwenye uwezo tuu
 
Pongezi ziende Kwa magufuli.hao wengine ni wahuni tu.wao walitaka ya diesel lakini mzalendo Magufuli akawakatalia na kuwaambia anataka iwe ya umeme.
Tena diesel za wachina, yani sasahivi wangijaa wachina tuu kwenye reli zetu kama kenya , dada zetu wangifundishwa hata kugawa juice ndani ya treni kama kenya.
 
🀣🀣🀣🀣 Utani huo mzee hujanielewa tu
 
Treni ya 160km/h....hiki ni kichekesho...Walete treni yenye speed kubwa 250km/h+, kama reli ilivyojengwa kwa makusudio ya matumizi hayo.
 
Hakuna cha kuwapongeza, tuliwaajili wafanye hayo. chawa mkubwa we πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Pili, masaa mawili km 192 km ni muda mwingi sana. Ulaya ni 300km/hr. Ilibidi iwe less tha an hour. Bado waliiba hela wakaleta mikweche.,
Halafu wameepekwa kama mzigo toka Dar moja kwa moja hadi Moro. Wakati wa kufanya route za safari haitakuwa hivyo. Kutakuwa na kusimama kushusha na kupakia abiria. Kwahiyo itakuwa ni masaa 3 toka Dar hadi Moro, nauli 25k

Bora kupanda Abood, masaa 2:30 nimefika Msamvu na nauli 10k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…