Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hujapona roho ya kula mashangazi weweMbali Kivipi mkuu? Binadam tunatakiwa kupendana 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujapona roho ya kula mashangazi weweMbali Kivipi mkuu? Binadam tunatakiwa kupendana 😅
Bado narecover mkuu. Nipo sober house 😅Hujapona roho ya kula mashangazi wewe
Yaani wananikera😂💔hivi kwann watu wa jf wanapenda kuitana mkuu😂😂 au mi sikusoma terms and policy labda kuna mahali walisema tuitane ivo
Uliniacha hoi pale ulipofika home na mama MTU mzima halafu bi mkubwa akahisi umekuja kumtambulisha mchumba home mpaka bi mkubwa akazimia.Nimeokoka siku hizi 😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni kitoweo Cha masela tu. Neno wegero kwetu maana yake ni mpunga usio na thamani.
Noma sana 😅Uliniacha hoi pale ulipofika home na mama MTU mzima halafu bi mkubwa akahisi umekuja kumtambulisha mchumba home mpaka bi mkubwa akazimia.
Usikereke MkuuYaani wananikera[emoji23][emoji174]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Sawa mkuu wa kikosi😉😉hivi kwann watu wa jf wanapenda kuitana mkuu😂😂 au mi sikusoma terms and policy labda kuna mahali walisema tuitane ivo
Nitag huo uzi wa @readermo ,nshachoshwa na hizi story zisizoisha
Pettymagambo umepotea tena.Tumbembeleze mleta story aendelee
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wakuu, kukaa kimya kwangu sio ki makusudi ama kuwakomesha kama baadhi wanavyodai,
Ieleweke kuna kutaitika vikali kama mimi ambavyo inanitokea kwa sasa,
Hii haihitaji kubembelezana ila mambo yakinikaa vizuri nitaendelea ila si leo wala kesho.
Haya kakojoe ulale, nyambafuuuuuWakuu, kukaa kimya kwangu sio ki makusudi ama kuwakomesha kama baadhi wanavyodai,
Ieleweke kuna kutaitika vikali kama mimi ambavyo inanitokea kwa sasa,
Hii haihitaji kubembelezana ila mambo yakinikaa vizuri nitaendelea ila si leo wala kesho.
Kuna SteveMollel UMUGHAKA na huyu nyuzi zao mpaka ziishe ndo ntazisoma,sjui wanatuchukuliaje?kwani kina DeepPond Analyse hawana matatizo,mbona huwa wanatoa taarifa kbs?Ila hz mbuzi nyingine [emoji119]Kuna majina kuanzia sasa nikiyaona yameleta story sisomi. Wa kwanza huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅Kuna SteveMollel UMUGHAKA na huyu nyuzi zao mpaka ziishe ndo ntazisoma,sjui wanatuchukuliaje?kwani kina DeepPond Analyse hawana matatizo,mbona huwa wanatoa taarifa kbs?Ila hz mbuzi nyingine [emoji119]