True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambiwa kitanda hakizai haramu .... Bm anasema usimsumbue [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na yeye bado tu Yupo na Huyo mtu duuhh hii Ni level ya mwisho kabisa ya uzwazwa
kuna watu wanafurahisha sana yaani yote haya anajidanganya eti ni hasira za mimba hahahahahaha
 
Hii ndo inavyokuwa kaka yaan ukiumizwa kwenye mapenzi moyo unakua wa jiwe , hupendi tena bali unawaheshimu tuu wanawake
 
Naweza sema Jamaa Ni FALA SANA

Anampenda drama
 
Daaah kumbe hujamaliza mkuu, malizia basi mida ya saa kumi hii bed ndo mida ya kusoma viporo
 
Si kuna sehem alisema kua anahisi yawezekana mwanzo alifanyiwa mambo kidogo
 
Wanawake bwana[emoji1][emoji1] hivi vitu havifurahishi
Unafikiri tunafurahia sasa?
Tunaielewa vyema hali unayoipitia kwa sasa. Tatizo huwa munapofushwa. Hata mukishauriwa hamusikiagi munaona kama tuna wivu. Yaan umekatiliqa sana aisee. Mno mno. Hafai huyo mwanamke. Yaan amekufanya bingwa wa dead balls. Wewe ndo wa kubutua dead balls? Mkomeshe haswaa...

Nialike kwenye hii harusi yako...
All the bests, kwa huyu bibie hakuna mke na hakuna mtoto hapo.
 
Sio sasa ni miaka kadhaa nyuma imeshapita, haya nimekuwa na jeuri ya kuyasema kwa uhuru na amani sasa hivi.
Kwa Kipindi kile sikuwa na uwezo huo, maumivu niliyokuwa nayasikia sio ya kawaida, sasa ndio mfano nikueleze kama hivi halafu uniambie hakuna mwanamke hapo nilikuwa naumia sanaaa ndio sababu sikuwa nasema kwa mtu ilikuwa vita ya mimi na nafsi yangu tu
Yaani nilichokuwa nataka kusikia ni kupendwa (ambako nako sikuwa nikipendwa) nilichokua nataka kusikia kwa watu ni angalau kuitwa mume wa BM nikisikia chochote hata mtu aniulize nasikia mmeachana basi naumia kweli kweli

[emoji1][emoji1][emoji1]Kile kipindi kimeniimarisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…