mFuKuZa nDoTo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 492
- 639
- Thread starter
-
- #141
Atakuja kushtuka baadae, mfano mimi ile munkari ya kutaka mtoto ndio iliniponza ningekuwa na mtoto tayari mwingine nisingejisumbuaNi kweli , mi na mwana anapitia hayo kipindi hichi story zinafanana kwenye swala la mtoto na tabia ya demu wake (japo wote wapo mkoa mmoja) anakamuliwa tu matumizi bora we unauhakika wa kipato...naye mwanzoni alikuwa na machale sahv ndo kapotea kabisa hashikiki..
Naona story yako umenikumbusha mwana, Inahuzunisha Sana !
Mimi suala la kufanana au kutofanana haikuwa ishu ila jumla ya matukio yote ukichanganya na la kutofanana ndio unajua sio mwanaoSamahani mkuu naomba unisaidie unaangalia nn ili kujua mtt ni wako au umepigwa ikitokea hujafanana nae? Maana naona umelisema juu juu, utakua umenisaidia sana mkuu.
Mimi lengo langu limetimia, nalo halikuwa kuwaaminisha watuMkuu chai haina Sukari
Nimekusoma mkuu. ShukranMimi suala la kufanana au kutofanana haikuwa ishu ila jumla ya matukio yote ukichanganya na la kutofanana ndio unajua sio mwanao
Halafu inawezekana mtoto sifanane na wewe na asifanane na mama yake?
Huoni hapo ni hajafanana na mama yake ila kafanana na baba yake ambaye ni mtu mwingine?
Halafu katika stori nilisema kuna mazingira yalifanya BM na huyu mwanamke wa sasa wakafahamiana, yaani walikuwa mkoa mmoja huko, Sijui ilikuwaje nikaachana na mwanamke huko nikapata mwingine huko Mungu anajua mipango yake., Sasa katika battle zao kama wanawake walipotibuana huyu wa sasa akaja kuunguza picha kwangu kwamba mtoto mwenyewe ni wa mtu mmoja(alinitajia jina na kazi ya huyo mtu, ni work mate wa BM)
Lakini bado niliona ni vita za wanawake tu, na mimi sipendi kufanya maamuzi kwa mashinikizo mpaka niamue mwenyewe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naitwa Analyse, Na hii ni story ya maisha yangu[emoji1][emoji1]
Hakuna ndugu yangu anayemfahamu mtotoKwenye harakati za mtoto kuonana na wazazi wako umeachia juu juu tu!!! Ina maana hawajaonana? Mtoto ana umri gani sasa?
Angeendelea kunidrive nisingefikia maamuzi haya, tunza huu uzi halafu uje kuniuliza miaka ijayo kama nitajihusisha nae tenaUshauri wangu ni bora upime DNA ili kuondoa huo walakini wa anaweza kuwa wangu au asiwe wangu,mda wote ulopoteza na gharama zote ungeshapima DNA kitambo naona wakati mwingine unakosa maamuzi ya kiume kwa sababu ya ule walakini sasa kwa nini usifanye jambo moja kumaliza utata huo
Kama ukifata ushauri wangu
★Ukishapima DNA★
Majibu negative:sasa unaweza kukata mawasiliano rasmi na hyo maza msijuane kwa lolote
Majibu positive: Anza kuplay part yako kama unavoweza na sio kuendeshwa endeshwa,malezi ya mtoto yawe kama inavoona inafaa ikiwa mama yake anachofanya siyo sahihi
Kuhusu cheti
Haina haja ya kuendelea kutumia cheti cha ndoa ikiwa ndoa hyo haipo,chukua hatua,japo unadai limbwata limeisha lakini inaonekana bado huyo bibie kakukalia kichwani(anakidrive mno)