Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Kwamba unajizama data kuwa Ukraine iko supported na NATO mwanzon mwa vita , na sasa bado inasapotiwa kimifumo ya ulinz ,Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele.
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele.
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?
TATIZO UNA ANDIKA KAMA MSHABIKI WA SIMBA/YANGA, WAKATI HUFAHAMU NGUVU YA KIJESHI YA VENEZUALA VS UKRAIN.Putin hana uwezo wa kumkamata Zele juzi tu hapa Zele analaumiwa kwa kupiga drones makazi ya Putin..
Aliombwa na nani asimuue?Kwamba unajizama data kuwa Ukraine iko supported na NATO mwanzon mwa vita , na sasa bado inasapotiwa kimifumo ya ulinz ,
Lakn Russian ajafeli kumuua bali aliobwa asimuue
Angeweza ile 2022 ila CIA walikuwa mbele ya muda.Putin hana uwezo wa kumkamata Zele juzi tu hapa Zele analaumiwa kwa kupiga drones makazi ya Putin..
Kama CIA ndio wanatoa taarifa ambazo Putin hana si utani huo nimefatilia kila kitu baada ya Ukraine kukana kuwa hawajahusika na hizo drones..Angeweza ile 2022 ila CIA walikuwa mbele ya muda.
Hata makazi yake Putin CIA ndo wametoka hadharani kusema kuwa hayakulengwa
Kwani wewe ni punguani au huna kumbukumbu?Kwamba unajizama data kuwa Ukraine iko supported na NATO mwanzon mwa vita , na sasa bado inasapotiwa kimifumo ya ulinz ,
Lakn Russian ajafeli kumuua bali aliobwa asimuue
Russia ingekuwa na uwezo huo isingeomba silaha NorthKorea, IranKama CIA ndio wanatoa taarifa ambazo Putin hana si utani huo nimefatilia kila kitu baada ya Ukraine kukana kuwa hawajahusika na hizo drones..
Putin sio mkubwa kama tulivyodanganywa kwa muda mrefu.
Hata wewe nakuona unajizima data,Kwamba unajizama data kuwa Ukraine iko supported na NATO mwanzon mwa vita , na sasa bado inasapotiwa kimifumo ya ulinz ,
Lakn Russian ajafeli kumuua bali aliobwa asimuue
We endelea kubwabwaja Putin anaendelea kujimegea miji ya Ukraine
Kwa nini asimteke zele ili aichukue ukraine yote?We endelea kubwabwaja Putin anaendelea kujimegea miji ya Ukraine
Kama ukraine inasaidiwa na NATO, putin nae anasaidiwa na BRICS.TATIZO UNA ANDIKA KAMA MSHABIKI WA SIMBA/YANGA, WAKATI HUFAHAMU NGUVU YA KIJESHI YA VENEZUALA VS UKRAIN.
Ujue Ukrain ilikuwa ni jimbo la Urusi lenye nguvu na maendeleo sana, na viwanda vingi vya silaha za kijeshi zilikuwa ukrain, pamoja na viwanda vingine vikubwa na huku Ukraini ikiwa moja ya wazalishaji wakubwa wa ngano duniani. Baadae Ukrain ikajitenga na kuanza kujiendesha yenyewe; kwa hiyo Ukrain ni level nyingine kabisa;
kulinganisha Ukran na Venezuela ni sawa na kulinganisha Africa kusini na Burundi ...namaanisha Venezuela inajitahidi ila kwa nguvu ya uchumi bado huwezi kulinganisha hata kidogo na Ukrain
Lakini pia Ukrain inasaidiwa na Ulaya kwa zaidi ya nusu hiyo Putin anapigana na Ulaya yote.
USISHABIKIE HABARI AMBAYO HUNA ELIMU NAYO!
Hatakama hujui kitu kabisa, bhasi jitahidi usome ili kuondoa ujinga sugu kichwani. Iran unairinganisha na venezuela?????Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?