TATIZO UNA ANDIKA KAMA MSHABIKI WA SIMBA/YANGA, WAKATI HUFAHAMU NGUVU YA KIJESHI YA VENEZUALA VS UKRAIN.
Ujue Ukrain ilikuwa ni jimbo la Urusi lenye nguvu na maendeleo sana, na viwanda vingi vya silaha za kijeshi zilikuwa ukrain, pamoja na viwanda vingine vikubwa na huku Ukraini ikiwa moja ya wazalishaji wakubwa wa ngano duniani. Baadae Ukrain ikajitenga na kuanza kujiendesha yenyewe; kwa hiyo Ukrain ni level nyingine kabisa;
kulinganisha Ukran na Venezuela ni sawa na kulinganisha Africa kusini na Burundi ...namaanisha Venezuela inajitahidi ila kwa nguvu ya uchumi bado huwezi kulinganisha hata kidogo na Ukrain
Lakini pia Ukrain inasaidiwa na Ulaya kwa zaidi ya nusu hiyo Putin anapigana na Ulaya yote.
USISHABIKIE HABARI AMBAYO HUNA ELIMU NAYO!