Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

Mkuu kuhusu kunielezea hiyo Nchi nadhani utakua unakosea sana hiyo Ukraine ni moja ya Nchi nilizozitembelea miaka ya nyuma nimebaki na baadhi ya hela zao kadhaa hapa...nimetembelea Cambodia,Vietnam,Singapore hadi Panama Nchi ambazo watu wengi hawaendi wanaenda zile wanazozisikia kwa watu...
 
Hatakama hujui kitu kabisa, bhasi jitahidi usome ili kuondoa ujinga sugu kichwani. Iran unairinganisha na venezuela?????
Wewe ndio hujui kitu.

Kuna sehemu nimetaja Iran au Venezuela?

Mwangalie bichwa kuubwa mpaka unashindwa kusikitika
 
Ukraine anaspotiwa moja kwa moja
 
Putini anapigana na umoja wa ulaya wote pamoja na marekani
ndiyo maana anakamata silaha za marekani nyingi sana.Angekuwa ni Ukraine peke yake angekuwa ameshamaliza vita zamani sana
Hata ukraine anapigana na BRICS yoote ndio maana alikamata wanajeshi wa Korea kaskazini
 
Russia hata hawezagi kulinda washirika wake ona Assad wa Syria kapinduliwa kirahisi tu leo Maduro kashakuliwa
 
Putini anapigana na umoja wa ulaya wote pamoja na marekani
ndiyo maana anakamata silaha za marekani nyingi sana.Angekuwa ni Ukraine peke yake angekuwa ameshamaliza vita zamani sana
Ukraine wanatumia zana kutoka Ulaya na USA tu.Hawajawakodi wapiganaji mamluki kama Urusi wanavyofanya.Tujibidiishe kulijua hio.
 
Ukraine wanatumia zana kutoka Ulaya na USA tu.Hawajawakodi wapiganaji mamluki kama Urusi wanavyofanya.Tujibidiishe kulijua hio.
Kuna waoiganaji wengi tu wamekamatwa na urusi wa umoja wa ulaya pamoja na marekani
 
Malengo ya putini ni tofauti na malengo ya trump. Na Putin hakufanya kuvizia kama alivyofanya Trump. Trump anachotaka kufanya ni upolaji wa mafuta ya Venezuela na atashindwa tu
 
Malengo ya putini ni tofauti na malengo ya trump. Na Putin hakufanya kuvizia kama alivyofanya Trump. Trump anachotaka kufanya ni upolaji wa mafuta ya Venezuela na atashindwa tu
Kama malengo ni tofauti mbona alifanya majaribio ya kumteka mara nyingi tu?
 
Stori za vijiweni hizo.
 
Putin anasaidiwa na BRICS? Don't be ridiculous!
 
Putin anapigana na Ukraine, European Union, NATO, USA. Kama unadhani Putin anapigana na Ukraine basi hujui vita gani inapiganwa.

Russia kawekewa sanctions na wahuni lakini wapi, nchi bado ina nguvu, wakajaribu kushusha uchumi, currency lakini wapi nchi ipo kama juzi tu

Kama ulidhani Russia anapigana na taifa moja basi hujui kinachoendelea.
 
Hata ukraine hapigani na Russia peke yake, tumeona wanajeshi North Korea wakiwa frontline
 
Kwamba unajizama data kuwa Ukraine iko supported na NATO mwanzon mwa vita , na sasa bado inasapotiwa kimifumo ya ulinz ,

Lakn Russian ajafeli kumuua bali aliobwa asimuue
Lini NATO walianza kupeleka msaada vitani baada ya vita kuanza. Siku ngapi walitumia?

Unajua NATO walitaka kumtorosha Zelensky mwanzoni mwa vita ila akakataa. Sasa huyu Madulo hata kama Urusi au China zingetaka kumpa msaada, unatekwa muda ambao hata maandalizi ya kupakia misaada kwenye ndege hayajaisha.

Yaani ground clearance na kupakia misaada kwenye ndege haijakamilika, ndege hata haijaruka wewe tiyari umetiwa korokoroni. Sasa misaada walete kwa ajili gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…