wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Bora umetusaidia kumuelekeza.. Jamaa kaleta uzi kama yupo chooni anakata gogo.TATIZO UNA ANDIKA KAMA MSHABIKI WA SIMBA/YANGA, WAKATI HUFAHAMU NGUVU YA KIJESHI YA VENEZUALA VS UKRAIN.
Ujue Ukrain ilikuwa ni jimbo la Urusi lenye nguvu na maendeleo sana, na viwanda vingi vya silaha za kijeshi zilikuwa ukrain, pamoja na viwanda vingine vikubwa na huku Ukraini ikiwa moja ya wazalishaji wakubwa wa ngano duniani. Baadae Ukrain ikajitenga na kuanza kujiendesha yenyewe; kwa hiyo Ukrain ni level nyingine kabisa;
kulinganisha Ukran na Venezuela ni sawa na kulinganisha Africa kusini na Burundi ...namaanisha Venezuela inajitahidi ila kwa nguvu ya uchumi bado huwezi kulinganisha hata kidogo na Ukrain
Lakini pia Ukrain inasaidiwa na Ulaya kwa zaidi ya nusu hiyo Putin anapigana na Ulaya yote.
USISHABIKIE HABARI AMBAYO HUNA ELIMU NAYO!
Tangu lini North Korea iko BRICS?Wanajeshi wa North Korea wanafanya nini vita vya ukraine? Inawahusu vipi.
Au ni mimi sielewi maana ya msaada?
Actualy hapigani na umoja wa ulaya since umoja huo bado hajaingia kikamilifu. Wananchangia silaha tu lakin wanaopigana ni ukrainePutini anapigana na umoja wa ulaya wote pamoja na marekani
ndiyo maana anakamata silaha za marekani nyingi sana.Angekuwa ni Ukraine peke yake angekuwa ameshamaliza vita zamani sana
Wala hapogani na hao wote. Ndio wanamsaidia ukraine silaha na mafunzo lakini bado hawajapeleka askari wao na ku dedicate majeshi yao yotePutin anapigana na Ukraine, European Union, NATO, USA. Kama unadhani Putin anapigana na Ukraine basi hujui vita gani inapiganwa.
Russia kawekewa sanctions na wahuni lakini wapi, nchi bado ina nguvu, wakajaribu kushusha uchumi, currency lakini wapi nchi ipo kama juzi tu
Kama ulidhani Russia anapigana na taifa moja basi hujui kinachoendelea.
Watanzania tunapenda kweli kweli ushabiki wa aina hii. Ya kwetu yametushinda tumeingilia ya wengine. Urusi anaweza kutamani sana kumuua rais wa Ukraine lakini ameshindwa na majaribio mengi aliyofanya yameshindwa. Ila ni kweli Ukraine anasaidiwa na NATO kwa kiasi kikubwa lakini ''wenye kuhoji'' wanaweza kukuuliza kwa nini Urusi na Uchina na wao wasimsaidie Venezuela?Ukijua tu malengo ya hayo mataifa mawili Russia na USA kwenye hizo operations zao kuwa ni tofauti kabisa .
Utafuta ulicho kiandika maana ni ujinga mtupu.
Lengo kuu la russia lilikuwa Demilitalization of Ukraine kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa.
Oppose nato expansion nalo wamefanikiwa . Pia kuicontrol Donbas na crimea blacksea port etc
Ilikuwa Battle of Hostomel.Kwani wewe ni punguani au huna kumbukumbu?
Hivi unajua hakuna nchi iliyoisaidia Ukraine mwanzoni?
Unafahamu kuwa mwanzoni kabisa Putin alituma kikosi ambacho ni top elites akijigamba kuwa atakuwa amekamilisha operation ya kuiondoa Serikali ya Zelewisk ndani ya siku 2?
Unajua kilichotokea ndani ya hizo siku 2? Ukraine bila ya msaada wa nchi yoyote, ilikiangamiza kikosi maalum cha Urusi, na kuwafanta wachache waliobakia kukimbia Kiev na kwenda Mashariki mwa Ukraine ambako kuna majimbo ambayo wakazi wake ni watuwa asili ya Urusi. Baada ya mafanikio ya Ukraine ya kuweza kuizuia Urusi kufanikisha kuiangusha Setikali ya Ukraine, ndipo taratibu Marekani ikatangaza kuisaidia Ukraine kwa vifaa. Na wataalam wa masuala ya vita akatamka wazi kuwa hawakutarajia Ukraine ingeweza kushindana na Urusi, wakasema wanaamini kuwa uwezo wa kijeshi wa Urusi waliokuwa wanaujua, ni dhahiri ulikuwa exagerated. Ndiyo maana hata utrkaji wa maeneo ya Ukraine, mpaka sasa, unaofanywa na Urusi, ni wa kujikongoja. Kiwastani Urusi inayateka maeneo ya Ukraine kwa wastani wa square kilometers 4 kwa siku.
Huna maana kama shepu za kichagaUtoto una laa sana. Usiamini kila kitu unachokiona YouTube. Penda kujilidhisha kwa kupata source nyingi zaidi
Sasa unadhani silaha ni nini, sio msaada? Ukraine ana silaha gani za kupambana na Urusi? Unajua ni dola ngapi Zele kaomba tena kwa kulia toka kwa Germany, France na USA?Wala hapogani na hao wote. Ndio wanamsaidia ukraine silaha na mafunzo lakini bado hawajapeleka askari wao na ku dedicate majeshi yao yote
Je wakipeleka yote unadhani vita ingekuwa hapo muda huu?
Kwanza Inaonyesha umeandika kwa Mihemko .Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?
Naweza nikakupa ww panga ukapigane na jirani yako lakini nikakaa pembeniSasa unadhani silaha ni nini, sio msaada? Ukraine ana silaha gani za kupambana na Urusi? Unajua ni dola ngapi Zele kaomba tena kwa kulia toka kwa Germany, France na USA?
Putin angekuwa hana jambo lake kule ukraine USA wasingeweza kumburuza kizembe hivyo Maduro na Venezuela yake. Mnakumbuka alivyomlinda Assad wa Syria? Ingekuwa hivyo hivyo.Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?
Hizi ndiyo hoja kuntu, upo wapi boss na unapendelea kula nini?TATIZO UNA ANDIKA KAMA MSHABIKI WA SIMBA/YANGA, WAKATI HUFAHAMU NGUVU YA KIJESHI YA VENEZUALA VS UKRAIN.
Ujue Ukrain ilikuwa ni jimbo la Urusi lenye nguvu na maendeleo sana, na viwanda vingi vya silaha za kijeshi zilikuwa ukrain, pamoja na viwanda vingine vikubwa na huku Ukraini ikiwa moja ya wazalishaji wakubwa wa ngano duniani. Baadae Ukrain ikajitenga na kuanza kujiendesha yenyewe; kwa hiyo Ukrain ni level nyingine kabisa;
kulinganisha Ukran na Venezuela ni sawa na kulinganisha Africa kusini na Burundi ...namaanisha Venezuela inajitahidi ila kwa nguvu ya uchumi bado huwezi kulinganisha hata kidogo na Ukrain
Lakini pia Ukrain inasaidiwa na Ulaya kwa zaidi ya nusu hiyo Putin anapigana na Ulaya yote.
USISHABIKIE HABARI AMBAYO HUNA ELIMU NAYO!
Ukitumia sehemu ndogo tu ya ubongo wako utagundua kwamba Putin snapambana na Ulaya na Marekani, hakuna mfanano wowote kati ya vita vya Ukraine na maigizo ya Marekani na Venezuela.Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?
Putin sio miaka 3 wewe. Huu mwaka wa 5 unaelekea wa 6Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!!
Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii
Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana
Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi.
Imagine unakuja kukamatwa chumbani kwako ukiwa umelala na mkeo, dharau kiasi gani?
Hapo sokwe una furahiiiiii😂😂😂We endelea kubwabwaja Putin anaendelea kujimegea miji ya Ukraine
Kwani kipindi kile analianzisha hakujua jamaa atasaidiwa, mbona husemi misaada anayo pewa Putin tena kuomba yeye, Sasa kaanza kubeba Hadi wakenyaPutini anapigana na umoja wa ulaya wote pamoja na marekani
ndiyo maana anakamata silaha za marekani nyingi sana.Angekuwa ni Ukraine peke yake angekuwa ameshamaliza vita zamani sana
Kila vita na malengo yake we lini Putin alikwambia anataka kumteka zelensky?Kwa nini asimteke zele ili aichukue ukraine yote?
Yaani unajimegea kidogo kidogo huku ukiwa unapoteza resources nyingi kwa miaka 3?
Wenzake wameenda kwa rafiki yake wamemteka na nchi wameichukua ndani ya masaa bila hasara yoyote kubwa.
Tena wanampelekea silaha za kujihami na hawataki silaha zao zitumike kupiga Moscow.Wala hapogani na hao wote. Ndio wanamsaidia ukraine silaha na mafunzo lakini bado hawajapeleka askari wao na ku dedicate majeshi yao yote
Je wakipeleka yote unadhani vita ingekuwa hapo muda huu?
Yap wamepewa ruhusa waay back na wanazitumia. Lakini in limited numbersTena wanampelekea silaha za kujihami na hawataki silaha zao zitumike kupiga Moscow.
Hivi walishapewaruhusa ya kutumia F16 jets?