Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

Miezi 4 nyuma kuna mtanzania mwenezetu mwanajeshi wa jeshi la.marekani ambaye pia ni you tuber blacksmith alituaga folowers wake kwamba wanaenda mission ila hakusema wapi ila majeshi yalikuwa standby ya marekani with serious deployment kumbe ilikuwa Venezuela.
 
Jeshi la Venezuela halikua upande wa serikali yake ndiyo maana...


Cc: Mahondaw
 
Iko hivi, Maduro katoka; lakini kila kitu chake kipo. Jeshi, Chama etc.

Nini kinafuatia?
 
Aliombwa na nani asimuue?
NATO hawajawahi sapoti Ukraine
Jikite kwenye mada ndani ya miaka 4 wameshindwa na huo ni uhalisia
Usilazimishe watu waamini ujinga wako!
Ukrain anatumika kama uwanja wa vita, lakn pale kuna umoja wa ulaya na marekani.
 
Russia hata hawezagi kulinda washirika wake ona Assad wa Syria kapinduliwa kirahisi tu leo Maduro kashakuliwa
Hii ni karata ya USA


Vita ya muda mrefu ya urusi plus gharama na vikwazo na vita yenyewe dhidi ya ukraine na Nato


Ulikuwa wkt sahh assad kupinduliwa na maduro kuvamiwa ..
 
Usiidharau Venezuala kwa kuwa marekani kaifanyizia. Venezuela ni nchi ya tatu katika bara la amerika kusini kwa nguvu za kijeshi imezidiwa na nchi mbili tu Brazil na Colombia ina majet fight na drones kibao na ilikuwa inashirikiana na china na urusi kijeshi . Kwa uchumi ni miongoni mwanchi zenye mafuta mengi duniani.
 
Kwamba unajizama data kuwa Ukraine iko supported na NATO mwanzon mwa vita , na sasa bado inasapotiwa kimifumo ya ulinz ,

Lakn Russian ajafeli kumuua bali aliobwa asimuue
Aliobwa ? Nyie ni vilaza sana. Unadhani Putin angeweza mkamata Zele angeacha na kuendelea kuingia gharama za vita? Muwe mnatumia akili hata kidogo msiwe vilaza mpaka kupitiliza. Na wewe utaobwa kitu. Subiri wa wakuobe. Hujui hata kuandika.
 
Àkili zako ndogo sana madhumuni ya urusi siyo kumkamata rais wa Ukraine angalia jinsi wanavyoimega Ukraine
 
Hii mada itatusaidia nini?
 
Halafu kuna watu wanamtegemea Putini
 
Naona watu wa LGBT+ wame reply mno comment yangu kwakulazimsha mitazamo yao iwe Yangu, teach yourself that not everyone can understand the way you wish
 
Unajisahaulisha kwamba Putin aliahidi hatomuuwa Zelensky?
Sasa wamchukue wa nini wakati wao wanataka ardhi na madini ya Donbas?
Akitaka anapiga Oreshnik moja tu hakuna wa kuizuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…