Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Una akili kama Lucas Mwashambwa , unaona USA ni sawa na Tanzania tuu.Yeye USA Ni nani mpk anitake nipunguze bajeti ya pesa nilizotafuta kwa jasho langu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili kama Lucas Mwashambwa , unaona USA ni sawa na Tanzania tuu.Yeye USA Ni nani mpk anitake nipunguze bajeti ya pesa nilizotafuta kwa jasho langu.
Hata ya Kichina na ya Urusi na ya za Africa. In short binadamu tu wanafiki.Serikali ya Marekani ni ya kinafiki sana
Habari za kuokoteza kwenye mitandao na kuanzisha thread za ubishi inawaponza sana vijana wengi wa kitanzania. Wengi wanakuwa hawana deep understanding ya mambo ya dunia kwa sababu watanzania hatuna utamaduni wa kusoma na pia elimu yetu ni ya kukariri majibu lakini wanakimbilia kubishana vitu wasivyovijua.Nenda kwanza kajifunze kuhusu sweatshops, hujui mengi.
Hata ya Kichina na ya Urusi na ya za Africa. In short binadamu tu wanafiki.
Hoja yangu huwezi kuipata kwa sababu ya knowledge yako ndogo ya kuielewa dunia. Nakushauri uwe unasoma vitabu na ni busara sana uanze na maandiko ya dunia ilikotoka....Hoja yako ni nini tafadhali kwenye hii mada?
Watajua wenyewe na ma NUKE yao, siku wakijisikia wakati umefika wayalipue iishe. Loose-Loose.Tudeal na mada katika huu uzi Marekani amethibitika kuwa ni mnafiki
Mna ufinyu wa fikra sana,Hawa jamaa USA huwa Wana kawaida hiyo,wakiwazidi wengine hukaa kimya,wakizidiwa hutaka ulinganifu.
Sijisemei kama porojo Nina mifano hai,
Mfano miaka ya 80 USA walipoona wamezidiwa na Urusi kwenye makombora ya masafa marefu wakataka uwepo mkataba wa kupunguza silaha Kali duniani.
Walipoona Urusi imeyumba kiuchumi na kusambaratika kwa USSR wakaanza kuunda Tena silaha Kali,Urusi alipowakumbusha wakamwambia kama anaweza na yeye anaweza kutengeneza,Sasa Urusi na china wamekua na nguvu Leo wanataka wapunguze bajeti za ulinzi.
Kwa kifupi Hawa jamaa ni wajanjawajanja.
Unaposema Japan imepoteana unamaanisha ni wakati Japan ni taifa la uchumi namba tatu kwa ukubwa duniani ikiwa ni ukubwa wa eneo theluthi ya Tanzania tu?Pia kiteknolojia na kiuchumi walipoona Japan imeizidi Marekani miaka ya 1980 wakaingia naye mkataba ulioitwa Plaza Accord na baada ya hapo Japan ikapoteana.
PLAZA ACCORD-Mkataba uliotumiwa na Marekani kuishusha Japan kiuchumi miaka ya 1980
Jinsi tunavyoiona leo teknolojia na uchumi wa China ukipaa na kuitishia Marekani, ndivyo ambavyo Japan ilikuwa na uchumi unaokua kwa kasi na kiteknolojia karibu kuifikia Marekani miaka ya 1980. Marekani akaja na mkataba ulioitwa PLAZA ACCORD. Mkataba huu Marekani alisaini na mataifa ya Japan...www.jamiiforums.com
Unaposema Japan imepoteana unamaanisha ni wakati Japan ni taifa la uchumi namba tatu kwa ukubwa duniani ikiwa ni ukubwa wa eneo theluthi ya Tanzania tu?
Misaada ya Marekani ni 1% tu ya bajeti yao na chini ya 1% ya GDP yao. Hizo kelele za Musk na Trump kuhusu misaada ni siasa tu. Bajeti kubwa ya Marekani ni kwenye Medicaid na social security.Wameona kuna matumizi mabaya ya pesa ndiyo maana DOGE inataka efficiency kwenye matumizi ya pesa za Marekani. Kibunda kinatumika hovyo
Marekani ina deni la USD 36 billion, deni ni kubwa kuliko hata GDP ya nchi. Na kila baada ya siku 100 kwa wastani Marekani inaongeza deni la USD 1 trillion!
Kufikia hatua hii lazima nchi ilemewe na ndio maana wameanza kwa kupunguza unnecessary expenditures na kufanya review ya misaada yote wanayotoa.
HSR ya California imekamilka ?Tatizo unaamini kila propaganda za CCP na MAGA. China wanapika takwimu, makadirio ya wataalamu wengi wanaoifuatilia China ni kwamba bajeti yao halisi ya ulinzi ni mara mbili ya ile ambayo serikali huwa wanaisema. Pia fahamu kwamba ukiwa huna barabara za lami ukijenga utaonekana zaidi kuliko mwenye lami ambaye anahitaji kurekebisha mashimo tu.
Chekecha akili trump siyo zuzu kiasi hicho unachofikilia wewe.Anasema anataka kumwambia Xi na Putin kuwa mabilioni wanayotumia kwenye bajeti za ulinzi na kuunda mabomu ya nyuklia yanaweza kutumika katika matumizi mengine mazuri
Kweli leo Marekani yenye bajeti kubwa ya kijeshi, ulinzi na muuzaji mkubwa wa silaha duniani imekuwa ya kusema hivi?
By the way ni kama Marekani imeanza kuyumba
Hawezi kukuelewaMisaada ya Marekani ni 1% tu ya bajeti yao na chini ya 1% ya GDP yao. Hizo kelele za Musk na Trump kuhusu misaada ni siasa tu. Bajeti kubwa ya Marekani ni kwenye Medicaid na social security.
Inabidi upambane kweli ili uendene na hilo jina lako la XI...hahahaaNa yale maswali mwishoni mwa uzi yamelenga ulichoandika. Marekani naona sasa kalemewa
Kwa kuongezea Marekani anataka kulegeza uhusiano kati ya China na Urusi na BRICS hasa anaposema angependa Urusi irudi kwenye G7
Marekani ameshaona haiwezi kushindana na Urusi na China. Anataka kufanya separation anafikiri akimrubuni Urusi kwenye G7 ataweza kudeal na China peke yake
Ila kwa sasa ukaribu uliopo kati ya China na Urusi na jinsi wanavyojua ujanja wa Marekani hawawezi kuingia huo mtego
Hata kama ingekuwa asilimia 0 wanatoa ya nini kwani nyinyi hamna akili na mikono ya kuendeleza nchi zenu?Misaada ya Marekani ni 1% tu ya bajeti yao na chini ya 1% ya GDP yao. Hizo kelele za Musk na Trump kuhusu misaada ni siasa tu. Bajeti kubwa ya Marekani ni kwenye Medicaid na social security.
Ili ukipata Ebola, Marburg, Zika, Kaswende n.k usipande ndege kuwapelekea kwao.Hata kama ingekuwa asilimia 0 wanatoa ya nini kwani nyinyi hamna akili na mikono ya kuendeleza nchi zenu?
Misaada ya Marekani ni 1% tu ya bajeti yao na chini ya 1% ya GDP yao. Hizo kelele za Musk na Trump kuhusu misaada ni siasa tu. Bajeti kubwa ya Marekani ni kwenye Medicaid na social security.
Nani kakuambia kuwa na surplus budget ni jambo la maana sana kwenye kila uchumi?? Surplus budget inayotokana na utozaji kodi au kubana matumizi muhimu sio kitu cha maana sana kwenye uchumi.Mapato ya Marekani ni madogo kuliko matumizi yake. Ndio maana inalazimika kukopa ili ifikie malengo ya bajeti
Mara ya mwisho Marekani kuwa na surplus budget ni 2001, kuanzia 2002 ni mwendo wa deficit budget na kukopa
Nani kakuambia kuwa na surplus budget ni jambo la maana sana kwenye kila uchumi??