matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
vita ni mipango ya shetani duniani kulisha kuzimu damu za wanadamu. Trump ni mpango wa Mungu kwa dunia. Go on Donald Trump!Nimegundua ni Kwa nini Urusi ilidukua uchaguzi wa Marekani ili Trump ashinde
Una akili Sana KULIKO Shule, nimekuelewa vizuri sana!Pointi anataka Rafiki yake Putin ashinde vita😀😀😀 angetaka amani angesitisha misaada kama hiyo kwa Israel.
3rd world warHalafu deni liko pale pale bado marekani atamdai ukraine mabilion aliyotumia wakati wa vita. Na je ulaya itamsapoti mpaka aweze kumshinda mrusi? Ulaya ikiungana na ukraine dhidi ya urusi na china itaungana na urus ndo kitaumana wakati huo mmarekani amdkaa pembeni anaangalia hiyo movie,
Hivi nyinyi mnao mshangaa Trump kwa kuitelekeza Ukraine nyinyi ni wageni ndani ya dunia hii?Zile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.
Tumeshajionea.
Zelenskyy ni mkuu wa nchi na alikuwa ikulu kwa shughuli rasmi ya kimataifa.Kwa kasi ya nyumbu isiyo n ufanisi ya Trump mwaka utaisha katepeta na kachuja.
Watu wake wanampiga biti Zelenski kuingia ikulu bila suti wakato mshikaji wake Musk kaingia kihuni tena na mtoto wake mdogo asiye na adabu. Na anaongea kwa dharau huku kasimama wakati raisi amekaa.
Unafiki ni sehemu ya mafanikio ya mabeberu.
Kwa nini leo wakati yeye amekuwa hivyo muda wote na sababu inajulikana.Zelenskyy ni mkuu wa nchi na alikuwa ikulu kwa shughuli rasmi ya kimataifa.
Alipaswa kufuata code na etiquette husika.
Jifunze kutofautisha mada.
Aliyeanza kumchokoza mwenzie ni Zelenskyy mwenyewe - kwa kufunga safari kutoka Ukreni na kwenda kumpigia kampeni Kamala Harris dhidi ya Trump.Fikiria alivyompokea raisi wa Ukraine, Trump aliwaambia waandishi wa habari,"Mmemuona alivyo vaa? Kapendeza kweli kweli!".
Watu wengi wanadai hivyo ni vijembe.
Tumepigwa kamba sana kuhusu suala hilo mpaka Trump katusanuaZile kelele za USA mifumo ndo inaendesha nchi, wenzetu wanalolifanya leo lilishapangwa miaka 20 iliyopiya na raisi ni mzimamizi tu tuziache sasa.
Tumeshajionea.
Mikakati iliyopangwa miaka mingapi iliyopita mkuu? Tupange.Na haya mambo anayo fanya Trump si bahati mbaya bali ni mkakati ila Trump ni chambo tu.
HahahaTumepigwa kamba sana kuhusu suala hilo mpaka Trump katusanua
Vijana wa siku hizi wanachojua ni mpira na kubeti... historia hata ya nchi yao hawajui hivyo unawatazama tu na kusikitikaHivi nyinyi mnao mshangaa Trump kwa kuitelekeza Ukraine nyinyi ni wageni ndani ya dunia hii?
Kwani vita ya Ukraine ndo vita ya kwanza kukimbiwa na Marekani baada ya kuona mambo yamekuwa magumu?
Marekani imesha ona kabisa kuwa hakuna uwezekano wowote wa kuishinda Urusi kwenye uwanja wa vita, hivyo anaona kuendelea kutoa pesa kwa vita ambavyo hakuna uwezekano wa kushinda ni upuuzi na ujinga.
Na haya mambo anayo fanya Trump si bahati mbaya bali ni mkakati ila Trump ni chambo tu.
Muulize TrumpKuna doube-standards kama lengo ni American First Policy, ambayo imeanza kwa kuzuia misaada kwa ajili ya nchi na mashrika mengi ya kigeni ; mbona haigusi Israel! Ambayo ni receipient namba moja wa misaada ya nje ya US?
Unaijua gharama ya kifaru kimoja cha Abrams wewe?Wivu, wizi na unafiki ndio umemjaa Trump. Hayo yote yanakuja baada ya Zelensky kukataa deal la Trump kutaka kufyeka rasimali za Ukraine kwa sharti la kumsaidia.