Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What’s kulogwa? Primitive thinking! Believing in nonexistence!Hivi mtu anaweza kurogwa akapata malaria?
Hio Dawa ni noma ulikuwa ni lzm ujisikie kufa kufa hivi Kama siku 5 hivi.Hii dawa ya malaria ilinifanya nikimbie nchi miaka ya 90 mwanzoni.
Anachofanya Marekani ni kuanzisha tatizo na kulitafutia dawa tatizo.
America is in economic war with China
Wenye kufikiri tu ndio wajuao.
Mi muhenga mkuu, nimetumia hizi na nakumbuka mateso yake, nilivokua nalia mwili unawasha[emoji3]. Mama wa kiafrica sasa alikua ananambia toto linadeka hilii kumbe si mchezoo[emoji3]
Sema kweli kuwa ilikushinda kwa kuwa ulikuwa unapewa na masharti ya kunywa vidonge 4 x 3 kila ya baada Kula chakula! Wakati mtz ukifanikiwa una piga Milo 2 kwa siku za mshahara tuHiyo dawa ilinitesa sana utotoni, ilikua inaniwasha balaa, navimba vimba mwili kila mahali. Noma sana ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo...ile inayowaita wazungu kua mabeberu... Je,hiyo dawa awamu ya tano utakubali kuitumia ? Maana hii ni nchi huru atutaki kuingiliwa mambo yetu...Mabeberu tulisha wakataaHalafu, kwani kuna ‘perfect’ society hapa ulimwenguni?
Walishindwa kuwaroga wakoloni hadi wakachukuliwa utumwani,ndio waweze Corona
Sikulenga kukuona mdogo, mkuu. Nilitaka experience yako juu ya chloroquine.Mi muhenga mkuu, nimetumia hizi na nakumbuka mateso yake, nilivokua nalia mwili unawasha[emoji3]. Mama wa kiafrica sasa alikua ananambia toto linadeka hilii kumbe si mchezoo[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku huu naporudi home, nakuta kundi la vijana wanaambiana,marekani ndo katengeneza corona,halafu China kamwambia atamtambua[emoji23][emoji23]nikaanza kucheka,duh, kumbe vijiweni ndo kuna mambo haya,wanadanganyana wanajazana information za uongo tu kuhusu marekaniHakuna perfect society mkuu. Ujue watu wengi hasa Africa hawana access ya habari zilizothibitika so mara nyingi wanailaumu USA sababu wanasikia mabaya yakitangazwa na wakuu wa kisiasa while yaliyo mazuri yanafichwa kwa maslahi ya wachache.
Chloroquine chungu jamani mie nilikuwa siwashwi hata kidogo ila uchungu tu yaani kikombe nilichomezea dawa kila nikikumbana nacho natupa huko, nilivyopata akili niligoma kunywa kabisa, nikaanza kunywa dawa zile za kenya Kenya fansidal za blue bahari, dawa gani chungu hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinikumbushe mkuu sitakaa nisahauHiyo dawa ilinitesa sana utotoni, ilikua inaniwasha balaa, navimba vimba mwili kila mahali. Noma sana ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlikuwa mnaitafuna klorikwini? Ebana eeh mna moyo...