Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

Nakumbuka Chloroquine ilikuwa inatengenezwa na kampuni moja ya Uingereza ikiitwa Imperial Chemical Industries na hata kidonge chake kilikuwa na maandishi (ICI).

Ulikuwa ukiimeza umebugia msosi, chukula chote kinayeyuka tumboni na unapata njaa ya kufa mtu. Sasa hivi na hivi vidonda vya tumbo vilivyoenea itakuwa shughuli.
 
good news. Nafikiri wachina wanaelekea kuifuta corona kwa kuwa walianza kutumia hii dawa efective.

ningekuwa tais wa tz ningeanza kutumia kws kila raia kama kinga na tiba.
 
Hiyo dawa ilinitesa sana utotoni, ilikua inaniwasha balaa, navimba vimba mwili kila mahali. Noma sana ile

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kweli kuwa ilikushinda kwa kuwa ulikuwa unapewa na masharti ya kunywa vidonge 4 x 3 kila ya baada Kula chakula! Wakati mtz ukifanikiwa una piga Milo 2 kwa siku za mshahara tu
 
Halafu, kwani kuna ‘perfect’ society hapa ulimwenguni?
Ndiyo...ile inayowaita wazungu kua mabeberu... Je,hiyo dawa awamu ya tano utakubali kuitumia ? Maana hii ni nchi huru atutaki kuingiliwa mambo yetu...Mabeberu tulisha wakataa
 
Mi muhenga mkuu, nimetumia hizi na nakumbuka mateso yake, nilivokua nalia mwili unawasha[emoji3]. Mama wa kiafrica sasa alikua ananambia toto linadeka hilii kumbe si mchezoo[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikulenga kukuona mdogo, mkuu. Nilitaka experience yako juu ya chloroquine.
Mimi hadi inasitishwa bado ilikuwa inanitibu, ila ilikuwa inaniwasha sana; hasa chloroquine injection, nikichomwa tu hiyo basi hadi wiki nzima inawasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna perfect society mkuu. Ujue watu wengi hasa Africa hawana access ya habari zilizothibitika so mara nyingi wanailaumu USA sababu wanasikia mabaya yakitangazwa na wakuu wa kisiasa while yaliyo mazuri yanafichwa kwa maslahi ya wachache.
Usiku huu naporudi home, nakuta kundi la vijana wanaambiana,marekani ndo katengeneza corona,halafu China kamwambia atamtambua[emoji23][emoji23]nikaanza kucheka,duh, kumbe vijiweni ndo kuna mambo haya,wanadanganyana wanajazana information za uongo tu kuhusu marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chloroquine chungu jamani mie nilikuwa siwashwi hata kidogo ila uchungu tu yaani kikombe nilichomezea dawa kila nikikumbana nacho natupa huko, nilivyopata akili niligoma kunywa kabisa, nikaanza kunywa dawa zile za kenya Kenya fansidal za blue bahari, dawa gani chungu hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chloroquine chungu jamani mie nilikuwa siwashwi hata kidogo ila uchungu tu yaani kikombe nilichomezea dawa kila nikikumbana nacho natupa huko, nilivyopata akili niligoma kunywa kabisa, nikaanza kunywa dawa zile za kenya Kenya fansidal za blue bahari, dawa gani chungu hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda watatengeneza mpya zisizo chungu...
 
Back
Top Bottom