Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Siamini kama ni US anasema haya mkwara wa juzi hakuwa anayajua haya.
Vyovyote iwavyo ila Iran kidume bwana sasa hapa Saudia na wengine wajifikirie mara mbili kumchezea maana kama bwana wao kaufyata wao wataweza.
Ebu kama kuna mtu anirushie kale ka wimbo ka baba lao ka diamond
 
Irani nao waogo sana. Eti wemeuwa askali 80 wa marekani. Any way nimekumbuka. Kumdanganya kafiri ni suna
Waoga? Kapiga military base baada ya mikwara yote ya Trump na kasema kuwa ni yeye bado unamuita muoga? Dah kwa kujipa moyo... US anajiepusha kuingia vitani ashajua kuwa Iran yuko tayari na si ajabu anajua kuwa kuna sababu inayompa kiburi Iran siyo kawaida sasa hapa anafanya damage control ya kuikimbia vita eti angeua hata askari mmoja?
US this time kapatikana allikuwa kazoea washika waaarab makalio sasa kakutana na Muajemi
 
Hahahahahahahahah OFF TARGET Hahahahahahahahah Aibu sana hakuna hata majeruhi.
 
Hahahahahahahahah OFF TARGET Hahahahahahahahah Aibu sana hakuna hata majeruhi.
Jipe moyo mzee baba ila Marekani anajua kilichompata we hushangai aja toa hotuba saa nne asubuhi muda wote alikuwa anajishauri afanyeje maana we mtu unamwambia niguse uone cha moto badala ya kukugusa anakuchapa ngumi kabisa lazima ujifikirie mara mbili mbilimbili.
Hapo Marekani anafanya damage control na nchi zote washirika washapigwa mkwara atakaye ruhusu nchi yake itumike kama military base kwa American kufanya mashambulizi is in for it. hizo ndizo kauli za kiume mwanaume akisema anatenda alisema atalipiza kalipiza.
 
Kazee Kapuuzi Sana Kanajikanyaga 2 IRAN Walishasema hawana mipango na SILAHA Za Maangamizi Sio Nuclear 2 Hata Zakemikali The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mikwara yote ya Trump siamini kama kaufyata aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…