Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

Amesema kuwa Marekani inauwezo mkubwa sana na wala hataki vita na Iran...Irani imeonesha kupeleka misimamo yake chini ambayo ni vizuri kwao kama kuleta amani, Kambi za Marekani zimeshambuliwa lakini hakuna madhara yeyote hakuna aliyeumia na wala kufa... Irani watambue kuwa ISIS ni maadui zao hivyo wao wameweza kuwamaliza hata pale mkuu wao alipojitahidi kuliunda upya jeshi la isis walimaliza na kumuua pia al Baghdad so Iran Ishirikiane na Marekani katika kuwaangamiza kabisa Isis... Ila Kwa Irani kushambulia Kambi za Marekani anawaandalia Vikwazo vingine...

Marekani ina silaha za nguvu na za kasi ila sio kwamba ukiwa na silaha hizo ndio uzitumie tu na Marekani hawataki kuzitumia Silaha hizo kali...

Mungu Ibariki Marekani.
Siamini kama ni US anasema haya mkwara wa juzi hakuwa anayajua haya.
Vyovyote iwavyo ila Iran kidume bwana sasa hapa Saudia na wengine wajifikirie mara mbili kumchezea maana kama bwana wao kaufyata wao wataweza.
Ebu kama kuna mtu anirushie kale ka wimbo ka baba lao ka diamond
 
Irani nao waogo sana. Eti wemeuwa askali 80 wa marekani. Any way nimekumbuka. Kumdanganya kafiri ni suna
Waoga? Kapiga military base baada ya mikwara yote ya Trump na kasema kuwa ni yeye bado unamuita muoga? Dah kwa kujipa moyo... US anajiepusha kuingia vitani ashajua kuwa Iran yuko tayari na si ajabu anajua kuwa kuna sababu inayompa kiburi Iran siyo kawaida sasa hapa anafanya damage control ya kuikimbia vita eti angeua hata askari mmoja?
US this time kapatikana allikuwa kazoea washika waaarab makalio sasa kakutana na Muajemi
 
Hahahahahahahahah OFF TARGET Hahahahahahahahah Aibu sana hakuna hata majeruhi.
 
Hahahahahahahahah OFF TARGET Hahahahahahahahah Aibu sana hakuna hata majeruhi.
Jipe moyo mzee baba ila Marekani anajua kilichompata we hushangai aja toa hotuba saa nne asubuhi muda wote alikuwa anajishauri afanyeje maana we mtu unamwambia niguse uone cha moto badala ya kukugusa anakuchapa ngumi kabisa lazima ujifikirie mara mbili mbilimbili.
Hapo Marekani anafanya damage control na nchi zote washirika washapigwa mkwara atakaye ruhusu nchi yake itumike kama military base kwa American kufanya mashambulizi is in for it. hizo ndizo kauli za kiume mwanaume akisema anatenda alisema atalipiza kalipiza.
 
Kazee Kapuuzi Sana Kanajikanyaga 2 IRAN Walishasema hawana mipango na SILAHA Za Maangamizi Sio Nuclear 2 Hata Zakemikali
Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran.

Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira .

Tupeane updates
*****

Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump amebainisha hakuna Mwanajeshi yeyote wa Marekani aliyeuawa au kujeruhiwa na uharibifu kidogo tu ndio umetokea kwenye Kambi hizo

Aidha, amesema vikosi vya Kijeshi vya Marekani viko tayari kwa lolote ila hivi sasa Iran inaonekana kusitisha kutaka kulipa kisasi, ambapo ni kitu kizuri kwa pande zote zinazohusika na kizuri zaidi kwa Dunia nzima

Awali, akiaza hotuba yake amezungumzia Iran na silaha za nyuklia akisema “Kwa muda wote nitakaokuwa Rais wa Marekani, Iran haitaruhusiwa kuwa na silaha za nyuklia.”
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema kuwa Marekani inauwezo mkubwa sana na wala hataki vita na Iran...Irani imeonesha kupeleka misimamo yake chini ambayo ni vizuri kwao kama kuleta amani, Kambi za Marekani zimeshambuliwa lakini hakuna madhara yeyote hakuna aliyeumia na wala kufa... Irani watambue kuwa ISIS ni maadui zao hivyo wao wameweza kuwamaliza hata pale mkuu wao alipojitahidi kuliunda upya jeshi la isis walimaliza na kumuua pia al Baghdad so Iran Ishirikiane na Marekani katika kuwaangamiza kabisa Isis... Ila Kwa Irani kushambulia Kambi za Marekani anawaandalia Vikwazo vingine...

Marekani ina silaha za nguvu na za kasi ila sio kwamba ukiwa na silaha hizo ndio uzitumie tu na Marekani hawataki kuzitumia Silaha hizo kali...

Mungu Ibariki Marekani.
Na mikwara yote ya Trump siamini kama kaufyata aisee.
 
Back
Top Bottom