Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Siamini kama ni US anasema haya mkwara wa juzi hakuwa anayajua haya.Amesema kuwa Marekani inauwezo mkubwa sana na wala hataki vita na Iran...Irani imeonesha kupeleka misimamo yake chini ambayo ni vizuri kwao kama kuleta amani, Kambi za Marekani zimeshambuliwa lakini hakuna madhara yeyote hakuna aliyeumia na wala kufa... Irani watambue kuwa ISIS ni maadui zao hivyo wao wameweza kuwamaliza hata pale mkuu wao alipojitahidi kuliunda upya jeshi la isis walimaliza na kumuua pia al Baghdad so Iran Ishirikiane na Marekani katika kuwaangamiza kabisa Isis... Ila Kwa Irani kushambulia Kambi za Marekani anawaandalia Vikwazo vingine...
Marekani ina silaha za nguvu na za kasi ila sio kwamba ukiwa na silaha hizo ndio uzitumie tu na Marekani hawataki kuzitumia Silaha hizo kali...
Mungu Ibariki Marekani.
Vyovyote iwavyo ila Iran kidume bwana sasa hapa Saudia na wengine wajifikirie mara mbili kumchezea maana kama bwana wao kaufyata wao wataweza.
Ebu kama kuna mtu anirushie kale ka wimbo ka baba lao ka diamond