City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Kwani wanajiendea kama wanaenda chooni kisa wamebanwa na haja au ni makubaliano???Ndiyo, ni muongo muongo na anajulikana.
Viongozi wa Kiafrika pamoja na kuyajua yote hayo wanaenda kufanya nini huko?
Hawana self respect?
Hana BAYA mama yetu, akienda pale huenda Trump akaishiwa maneno akaishi kusifia ujenzi wa SGR pamoja na royal tour.Kwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.
Hatabiriki huyo na hafuati protokali.
Sidhani kama Samia ataigusa White House Trump akiwa Rais.
Makubaliano gani? Ya kwenda kudhalilishwa na kufokewa kama mtoto mdogo?Kwani wanajiendea kama wanaenda chooni kisa wamebanwa na haja au ni makubaliano???
You never know. Kila shetani na mbuyu wake. Kungu manga linaweza likafanya mambo. Macho malegevu ya kurembua yakamtuliza Trump..Kwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.
Hatabiriki huyo na hafuati protokali.
Sidhani kama Samia ataigusa White House Trump akiwa Rais.
Na yule Bw. Piraa [Peter] sijui naye atakuwepo 🤣🤣.Hana BAYA mama yetu, akienda pale huenda Trump akaishiwa maneno akaishi kusifia ujenzi wa SGR pamoja na royal tour.
Trump hapendi vibonge 🤣.You never know. Kila shetani na mbuyu wake. Kungu manga linaweza likafanya mambo. Macho malegevu ya kurembua yakamtuliza Trump..
Ours is clean ataenda tu siku mojaKwenda kumwona Trump White House ni hapana aisee.
Hatabiriki huyo na hafuati protokali.
Sidhani kama Samia ataigusa White House Trump akiwa Rais.
Ni kweli.Hata hivyo anajitahidi, pale oval office chini ya Trump hata akiingia kiongozi wa ujerumani au nchi nyinvine yoyote kubwa lazima awe anahaha kimoyo moyo
Umeniwahi, nimekuja kufungua uzi nakutana na uzi wako.Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.
Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."
Nimecheka sana aisee.Umeniwahi, nimekuja kufungua uzi nakutana na uzi wako.
Title ya uzi wangu ilikuwa iwe
"Ramaphosa ajikuta amekaa kuume kwa Trump"
Baada ya kauli zake za 'kishujaa' na kuahidi kuitosa Marekani na kukata kufanya nayo biashara na kushangiliwa na waafrika wenzakenarais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa ameondoka Afrika kimya kimya bila kuaga na kuishangaza dunia akiwa ndani ya Oval Office akiwa amekaa kuume kwa rais Trump
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/15pBRgzFBf/
Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.
Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."
View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955
Hana uwezo mzuri wa kujieleza, achilia mbali kujieleza kwa Kiingereza kizuri kama Ramaphosa.Chura wetu asi jaribu kwenda uku na vile hajui kujieleza
Julius Malema alimwambia Ramaphosa asiende huko US atadhalilishwa tu.Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.
Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."
View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955
Nimemwones huruma aisee.Na RAmaphosa ni Rais kilaza sana wa Afrika Kusini. Alijifanya ana msimamo kumbe bwege tu. Trump kampatia sana huyo mnafiki.