Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Ramaphosa amweza na ameibuka mshindi cc Nyani Ngabuni clip ndefu raisi wa ak c.ramaphosa akijieleza mbele ya camera, D.Trump kamuwekea ushahidi wote wa kuuliwa na kufukuzwa kwa Christians nchini AK na crazy communist malema.
btw hiki kiti moto cha D.Trump nasubiria siku tanzagiza wawekewe …
View: https://m.youtube.com/watch?v=Krfaj4IRUXc&pp=ygURTmV3c21heCByYW1hcGhvc2E%3D
Angalia hadi mwishoFedheha aliyokutana nayo Ramaphosa ni nzito mno
Kama ya Zelenky ama zaidi. Yote haya ni kwasababu Afrika tumekubali kujiuza kwa ubinafsi wetu. Bilashaka haya yanatupata kwasababu baba zetu walipanda mbegu za ubinafsi. Waliishia kufia madarakani badala ya kujenga utaifa na uzalendo. Ona sasa Ramaphosa anavyodhalilika mbele ya Trump na dunia. Trump akiwapigania ndugu zake weupe na wengine amewapa hifadhi kutokea South Afrika. Ila sisi tunaua ama kuwafunga ndugu zetu weusi wanaokimbia taabu katika nchi zao. South Afrika imechoma ndugu weusi na Afrika ilikaa kimya, lakini ilivyogusa weupe, wazungu wamechachamaa, sasa Ramaphosa ameenda kuwalamba miguu ili wamfungulie vikwazo vya kibiashara. Anyway ngoja pia yamkute maana Ramaphosa naye alikuwa amejawa kibri akitoa maneno mazito mbele ya Marekani na akisema atatembea na Brics, sasa Brics wamepoteana kila mmoja amekuwa bize na kijiondoa na kamba za tariffs. Huku Putin naye akiwa bize kujinasua kwenye vita na kufungua uhusiano wa kibiashara na Marekani. Hivyo kila nchi inaangalia mambo yake ya kimaslahi. Kwahiyo basi Afrika tunahitaji mfumo wa kiuchumi kulingana na mazingira yetu na sio mifumo ya kukopa ambayo kwa kipindi kirefu imetufanya watumwa wa kiuchumi na kisiasa. Pasipo hivyo tutaendelea kujieleza mbele ya weupe kama Ramaphosa anavyojieleza mbele ya Trump kama mtoto wa shule kwa mwalimu wake.
Ila sijui kama tutatoboa kwa wingi wa ubinafsi huu tulionao. Mungu atusaidie.
Hivi ni nani yupo sahihi? Rais anayetoa uhuru mtu kufanya kama malema anavyodhalilisha utu au Samia ambaye ukileta upuuzi akuweke lupango kama wanaotaka kukinukisha. Povu ruksaOh yeah, Trump huwa anaropoka tu.
Mara nyingi sana huwa anakuza mambo na kuongeza chumvi.
South Africa hakuna genocide. Ila kuna watu wanaoleta chokochoko za Maneno ya uhalifu dhidi ya wazungu.
Pia, uhalifu dhidi ya wazungu upo, wa hapa na pale, lakini si genocide.
Sasa Trump si mtu wa kufanya due diligence. Yeye anachosikia na kuambiwa, hata kiwe cha uongo, ndo atachoenda nacho.
Sijui.Hivi ni nani yupo sahihi? Rais anayetoa uhuru mtu kufanya kama malema anavyodhalilisha utu au Samia ambaye ukileta upuuzi akuweke lupango kama wanaotaka kukinukisha. Povu ruksa
Amualike Putin au Kiduku au hata AyatoUnajua Trump ana utisho flani kwa wenzie. Sijui ni nini. Ni personality flan anayo ambayo wenzie huwa wanaji feel wadogo. Jamaa ni mbabe in short. Na he doesnt care si mwana diplomasia mzuri. Anajali maslahi zaidi. Ushungi ndo asijaribu maana hata kumwelewa hatomwelewa na uwezo wa kujieleza ndo hana kabisa. Trump ataanza mdharau mapema sana maana kichwani.... 0.
Fedheha aliyokutana nayo Ramaphosa ni nzito mno
Kama ya Zelenky ama zaidi. Yote haya ni kwasababu Afrika tumekubali kujiuza kwa ubinafsi wetu. Bilashaka haya yanatupata kwasababu baba zetu walipanda mbegu za ubinafsi. Waliishia kufia madarakani badala ya kujenga utaifa na uzalendo. Ona sasa Ramaphosa anavyodhalilika mbele ya Trump na dunia. Trump akiwapigania ndugu zake weupe na wengine amewapa hifadhi kutokea South Afrika. Ila sisi tunaua ama kuwafunga ndugu zetu weusi wanaokimbia taabu katika nchi zao. South Afrika imechoma ndugu weusi na Afrika ilikaa kimya, lakini ilivyogusa weupe, wazungu wamechachamaa, sasa Ramaphosa ameenda kuwalamba miguu ili wamfungulie vikwazo vya kibiashara. Anyway ngoja pia yamkute maana Ramaphosa naye alikuwa amejawa kibri akitoa maneno mazito mbele ya Marekani na akisema atatembea na Brics, sasa Brics wamepoteana kila mmoja amekuwa bize na kijiondoa na kamba za tariffs. Huku Putin naye akiwa bize kujinasua kwenye vita na kufungua uhusiano wa kibiashara na Marekani. Hivyo kila nchi inaangalia mambo yake ya kimaslahi. Kwahiyo basi Afrika tunahitaji mfumo wa kiuchumi kulingana na mazingira yetu na sio mifumo ya kukopa ambayo kwa kipindi kirefu imetufanya watumwa wa kiuchumi na kisiasa. Pasipo hivyo tutaendelea kujieleza mbele ya weupe kama Ramaphosa anavyojieleza mbele ya Trump kama mtoto wa shule kwa mwalimu wake.
Ila sijui kama tutatoboa kwa wingi wa ubinafsi huu tulionao. Mungu atusaidie.
Huyo Traore ndo hovyo kupindukia.A
Afrika inahitaji viongozi kama Ibrahim Traore !
Viongozi wa Afrika hamkutakiwa kwenda Marekani kujipendekeza, nchi kama za Afrika zina kila aina ya utajiri, ila wanashindwa kufikiria ni watumiaje huo utajiri !
Amekwenda huko kutafuta nini wakati anajua hawana mahusiano mazuri?Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo:
1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump
Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya wakulima weupe,” alionekana kulenga kuimarisha ajenda yake ya kisiasa ndani ya Marekani, hasa kwa wapiga kura wanaoamini kuwa kuna ubaguzi dhidi ya wazungu duniani.
2. Utulivu na Ukomavu wa Ramaphosa
Ramaphosa aliitikia kwa ustaarabu na ukomavu wa kisiasa. Badala ya kujibizana kwa jazba, alielekeza mjadala kwenye ukweli na juhudi za serikali yake kupambana na uhalifu bila kujali rangi. Hii iliimarisha taswira yake kimataifa kama kiongozi mwenye busara.
Rais Ramaphosa alijibu kwa utulivu, akisema kuwa video hiyo haionyeshi sera rasmi za serikali ya Afrika Kusini na kwamba vurugu zinazotokea nchini humo zinawaathiri raia wote, hasa watu weusi. Alisisitiza kuwa hakuna mauaji ya kimbari yanayofanyika dhidi ya wazungu na kwamba serikali yake inajitahidi kupambana na uhalifu kwa ujumla
3. Hatari ya Taarifa za Upotoshaji
Video iliyotumika na Trump ni mfano wa jinsi propaganda zinavyoweza kuathiri diplomasia. Kutumia video zenye kauli za wachochezi kama za Malema bila muktadha mpana kunaweza kuleta tafsiri potofu na kuharibu uhusiano wa kimataifa.
4. Uhusiano wa Biashara na Diplomasi
Licha ya mvutano huo, Ramaphosa bado aliwasilisha ombi la ushirikiano wa kibiashara — hatua ya kiakili inayotilia mkazo maendeleo ya Afrika Kusini badala ya kuanguka kwenye mtego wa ubishani wa kisiasa.
5. Ujumbe kwa Afrika
Kwa viongozi wengine Afrika, tukio hili linafundisha umuhimu wa kuwa na taarifa sahihi, busara katika mazungumzo ya kimataifa, na umuhimu wa kutetea nchi kwa hoja — si kwa hasira.
Kwa kifupi: Trump alitumia tukio hilo kwa maslahi ya ndani ya siasa za Marekani, huku Ramaphosa alisimama kama kiongozi anayetanguliza maslahi ya taifa lake na ukweli wa mambo.
Je Ramaphosa amejidharirisha?
Hapana, Ramaphosa hajajidharirisha — kinyume chake, ameonesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa na diplomasia.
Hapa ndiyo sababu kuu:
1. Aliendelea kuwa mtulivu licha ya kushambuliwa kwa kejeli
Trump alitumia mbinu ya ghafla (ambush) kwa kuonyesha video yenye madai mazito mbele ya kamera. Badala ya Ramaphosa kuonyesha hasira au kukasirika, alijibu kwa utulivu na busara — akikanusha madai hayo kwa hoja na si jazba. Huu ni ukomavu wa hali ya juu.
2. Hakuruhusu tukio hilo kumvuta kwenye mjadala wa kihisia
Ramaphosa angeweza kulipiza kisiasa, lakini alichagua kuelekeza mazungumzo kwenye ajenda ya maendeleo na biashara. Hii ni hatua ya kiongozi anayejua kipaumbele cha taifa lake.
3. Alilinda heshima ya nchi yake mbele ya dunia
Katika jukwaa la kimataifa, kutodharirika si lazima kumaanishe kujibu mapigo kwa nguvu, bali ni kujua lini unapaswa kuwa mtulivu ili kuepusha taswira hasi ya nchi. Ramaphosa aliwaonyesha viongozi wa dunia kuwa Afrika haipaswi kutishwa au kuhamasishwa kwa propaganda.
Kwa hivyo:
Ramaphosa amecheza karata zake vyema — amejenga heshima kimataifa badala ya kujiangusha kwa kurushiana maneno. Na katika siasa za kimataifa, hilo ni jambo la msingi
Rais Ramaphosa alikutana na hali ya fedheha, lakini hiyo si kwa sababu ya udhaifu wake binafsi pekee ni kwa sababu viongozi wa Afrika, kwa miaka mingi, wamejenga urais wenye mamlaka makubwa lakini misingi dhaifu: hakuna mfumo wa kujitegemea, hakuna umoja wa kweli wa Afrika, na hakuna sauti ya pamoja duniani.Fedheha aliyokutana nayo Ramaphosa ni nzito mno
Kama ya Zelenky ama zaidi. Yote haya ni kwasababu Afrika tumekubali kujiuza kwa ubinafsi wetu. Bilashaka haya yanatupata kwasababu baba zetu walipanda mbegu za ubinafsi. Waliishia kufia madarakani badala ya kujenga utaifa na uzalendo. Ona sasa Ramaphosa anavyodhalilika mbele ya Trump na dunia. Trump akiwapigania ndugu zake weupe na wengine amewapa hifadhi kutokea South Afrika. Ila sisi tunaua ama kuwafunga ndugu zetu weusi wanaokimbia taabu katika nchi zao. South Afrika imechoma ndugu weusi na Afrika ilikaa kimya, lakini ilivyogusa weupe, wazungu wamechachamaa, sasa Ramaphosa ameenda kuwalamba miguu ili wamfungulie vikwazo vya kibiashara. Anyway ngoja pia yamkute maana Ramaphosa naye alikuwa amejawa kibri akitoa maneno mazito mbele ya Marekani na akisema atatembea na Brics, sasa Brics wamepoteana kila mmoja amekuwa bize na kijiondoa na kamba za tariffs. Huku Putin naye akiwa bize kujinasua kwenye vita na kufungua uhusiano wa kibiashara na Marekani. Hivyo kila nchi inaangalia mambo yake ya kimaslahi. Kwahiyo basi Afrika tunahitaji mfumo wa kiuchumi kulingana na mazingira yetu na sio mifumo ya kukopa ambayo kwa kipindi kirefu imetufanya watumwa wa kiuchumi na kisiasa. Pasipo hivyo tutaendelea kujieleza mbele ya weupe kama Ramaphosa anavyojieleza mbele ya Trump kama mtoto wa shule kwa mwalimu wake.
Ila sijui kama tutatoboa kwa wingi wa ubinafsi huu tulionao. Mungu atusaidie.
Ramaphosa alikwenda Marekani kutafuta nafuu ya kiuchumi, kisiasa, na kidiplomasia — licha ya ubaridi wa mahusiano — kwa sababu bado hatuna nguvu ya kusema “hatuhitaji.”Amekwenda huko kutafuta nini wakati anajua hawana mahusiano mazuri?
Linganisha kabla yake na sasa, kuna any improvement in their country interms economy?Huyo fala naye hana lolote. Kafanya nini cha maana huko Burkina Faso?
Rais wa kwenye mitandao tu huyo.
Sifa zake nyingi anazopewa ni za uongo wa kwenye mitandao.
Mtu anayevaa magwanda ya kijeshi na kubeba kibastola kiunoni masaa 24 hayupo serious.Linganisha kabla yake na sasa, kuna any improvement in their country interms economy?
This was a diplomatic ambush on Ramaphosa but I think he has survived it by staying calm and answered questions promptly.Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.
Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."
View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955
😆😆😆 huyu mzee nikimuangaliaga huwa nacheka tu. Yaani yeye ndo Rais wa marais wote, ukiingia 18 zake tu hakuachi anakupiga hardtalks na anajua huna la kumfanya.