Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

USA mchokozi sana, si angewaacha Israel wapambane wenyewe kama wana ubavu?
Mawazo ya kitoto sana hayo, lengo ni kushinda by whatever it takes. Hayo yote yalishapangwa na US ni moja ya silaha ambazo Israel walishajipanga nazo, unapokuwa vitani lazima ujue aina ya silaha za adui na options alizonazo. Mipango na akili ni vitu muhimu zaidi ya kukurupuka na kuhamaki though kiukweli hakukuwa na ulazima wa kuishambulia Iran ndiyo maana imajikuta tu inajibu mashambulizi(it's their right to defend themselves) lakini actual plans za kushinda vita hawana, they'll destroy and cause damages, inflict injuries or kill but they don't have what it takes to win the war na hawana strategies za kushinda.
Allies pia ni silaha muhimu katika vita.
 
Urusi iliposema inakwenda kuzihifadhi yeye hizo nuclear za Iran ili Israel na marekani waondoe hofu, marekani ikaona urusi itafaidika kwazo ndio ikaamua kuziharibu
 
Mgogoro utaisha tu endapo IRAN itapata Nuclear.
 
Wamepiga hewa ,watu juzi walisema walihamisha kila kitu kwenda kusikijulikana.🤣🤣🤣
 
Si kweli.Muajemi si sawa na Hamas.Mazayuni yatakong'ontwa hadi yasalimu amri.🫸🫷😝😝😝😝😝
 
Watu walistoa kitambo na hakuna bomu limefika chini ,hata shule kichwani chenga ,unajua kama ingekuwepo hapo athari zake kwenye mazingira.
Unapiga machimbo ,watu mzigo walishautoa mapema ,baadhi ya kambi ni marudio 🤣🤣
 
Katika mipango ya Usalama wa Dunia:
Iran ni lazima ipigwe:

Ina silaha za nyukria halafu ina kiburi:
haiaminiki kwa wakuu wa usalama:

Ni mfadhiri mkuu wa ugaidi wa kidini:

Pamoja na kuonywa mala kwa mala kutojihusisha na ufadhiri kwa magaidi wa jihadi, Irani ikapuuzia na kuendelea na mipango yake:

Islamic Republic ya Jamhuri ya Iran ni tishio kwa dunia:

Tofauti na Afghanistan, {wao wanadili na watu wao tu,}
Iran imevuka mipaka ya kupanga kueneza tawala za Kiislamu yaani Islamic State nje ya mipaka yake ikiwa Afrika na Ulaya, kwa Hiari na Shari, kwa Amani na Upanga:

zile nyimbo za Allah Akbar na Kuswali barabarani huko Ulaya mfadhiri ni Iran:

Nia hasa ya US ni kuangusha utawala wa Kiislamu Irani na kurejesha utawala wa Kidemocrasia (vyama vingi)

Naungana na Mipango ya US na Israeli:
Hawa mujahidina wamechinja sana Wakristo sababu ya Dini tu:

Wakiongezeka na kupata Nguvu Wakristo hawatapata pahali pa kukimbilia:

Uislamu wa itikadi kali Lengo lao la kwanza ni kuwaangamiza Wayahudi na Wakristo kwakuwa wanaonekana ndio kikwazo kikubwa cha kushindwa kusimikwa kwa Islamic State:

Unamwaminije mtu anaye kuita Kafiri bila sababu, eti kwakuwa tu Nabii wao kasema hivyo:

Na sababu nyingine za kipuuzi kabisa:
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao.
👉Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Kwani Wakristo tukisema wenyewe kuwa Masihi ni Mwana wa Mungu wao kinawauma nini hadi watamani kutuangamiza ?

Mbona Nabii wao kasema Latta, Uzza na Manata ni Mabinti wa Mungu Allah na Wakristo hatuna Nongwa nao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…