Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

Well said !
 
Hahahaaaaa Tena wakianza kuliwa vichwa viongozi muhimu jeshini
AYATOLLAH kwenye urithi kamkwepesha kijana wake maana angemtaja TU.

Ukitajwa ama kupewa cheo na ayatollah unageuka KABURI LINALO TEMBEA.

HIVI VITA HAVITO TUMIA MUDA MREFU NA MPAKA MAREKANI KUINGILIA WANAJUAGA JINSI YA KUANZA NA KUMALIZAA
 
Maana Kuna mkuu alichaguliwa baada ya aliyekuwepo kuuliwa. Kakaa siku nne tu naye akauliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…