msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,796
- 9,165
Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?Wanaukumbi.
Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unadhani Iran wanapigana kwa kufuata akili zenu? Vita ni mbinu Iran sasa hivi wanarusha drone kuchosha mifumo ya ulinzi wa Marekani na Israel unajua gharama ya kuzui drone moja?Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?
🚨 🇮🇷🇺🇸 BREAKING
Mkuu wa Jeshi la Iran: "Iwapo Trump ataingia Mashariki ya Kati, atakuwa shabaha ya moja kwa moja kwa vikosi vyetu."
Msako umeanza rasmi.
Huwenda hujui lolote kuhusu hivi vita unampigia Iran jinsi ya kupigana😅
Mu Iran wa Buza anachambua vita inayopiganwa mitaa ya Tehran 😂😂😂😂.Hahaha unaongea kutoka Njombe😅
Unauliza maswali ya kitoto sana yaani watu wapo vitani unampangiq adui yako jinsi ya kupigana?Nimekuuliza wewe ujibu badala ya mkuu wa majeshi wa Iran.
Yeye anamtishia kumuua Trump akikanyaga mashariki ya kati.
Nini kinamzuia asimuue huko aliko?
Maana Trump na Benjamin wao wamesema wao wataua mrithi yeyote wa khameni bila kujali yupo wapi. Popote panafikika.
Mimi sijambui nakuletea kinachotokea uwanja wa vita wewe unakuja na porojo eti vita vimeisha🤣Mu Iran wa Buza anachambua vita inayopiganwa mitaa ya Tehran 😂😂😂😂.
Maana yake Iran kwa sasa inatumia asilimia 10Wanaukumbi.
Trump na Israel, wanachekesha sana wanasema imengamiza uwezo wa makombora ya Iran kwa asilimia 90 hawana tena huwezo wa kurusha makombora na wanadhibiti anga yote ya Iran. 😂
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/2030767973946810563?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Trump anapiga kwenye mshono, Kobaz wanatoa milio balaa.Trump kawashika makalio hao kobazi wala tende
Ni mwendo wa kuwawahisha peponi kupewa mabikra 72 na pombe
Dunia haiwezi kuvumilia ugaidi
Hawa kobazi wa Tanganyika bhnTrump anapiga kwenye mshono, Kobaz wanatoa milio balaa.
🤣🤣🤣Maana yake Iran kwa sasa inatumia asilimia 10
Mashambulizi unayoyaona ni asilimia 10