Samuya aliuwa Watanganyika ukashangilia🇮🇷⚡️🇮🇱 Makombora ya Iran leo yamepiga Bandari ya Haifa nchini Israel, ambayo inamilikiwa na mfanyabiashara Mhindi Adani—pigo kubwa kwa uwekezaji wa Israel na India, kwa kuwa ilikuwa bandari kubwa.
Iran inaonekana kulipiza kisasi kwa usaliti wa India kwa meli ya wanamaji wa Iran.
View: https://x.com/zardsi/status/2030784503556304992?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kama ana mbinu nzuri mbona viongozi wake wanauawa kila siku? Kwaio unakubali mwanzoni alikua anarusha tu makombora bila kuwa na mbinu?Unadhani Iran wanapigana kwa kufuata akili zenu? Vita ni mbinu Iran sasa hivi wanarusha drone kuchosha mifumo ya ulinzi wa Marekani na Israel unajua gharama ya kuzui drone moja?
Wewe umfahamu Ritz unamshobokea tu umekosea jukwaa.Samuya aliuwa Watanganyika ukashangilia
Leo Trump anawashika Kalio kobazi wa Iran unaanza kutoa ushuzi
Kama ana mbinu nzuri mbona viongozi wake wanauawa kila siku? Kwaio unakubali mwanzoni alikua anarusha tu makombora bila kuwa na mbinu?
Sawa mrembo kobaziWewe umfahamu Ritz unamshobokea tu umekosea jukwaa.
Toa uharo wako hapo
View: https://x.com/jvnior/status/2030869538926137776?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Saana mkuu, mimi wananikera sehemu kadhaaHawa kobazi wa Tanganyika bhn
Samuya aliuwa Watanganyika wakashangilia Leo Babu Trump anauwa magaidi ya ya Iran wamenuna.
Kobazi ni jamii ya ovyo kuishi nayo
Siku tatu za mwanzo ilikuwa ni kuudhofisha mfumo wa ulinzi wa Israel,ilibidi waushushie mzigo mkubwa ili uko collaspe,na kweli walifanikiwa,now wanajipigia tu mdogo mdogoMkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?
Hapo ndipo Netanyahu alipokuwa anajificha sa sijui atajifichia wapi
Vipi ukiambiwa kuwa mwanzo lengo lilikuwa ni kudhoofisha mifumo ya ulinzi wa anga.Mkuu kwani hauoni kuwa ile kasi ya iran kurusha makombora imepungua kwa kiasi kikubwa sana? Siku tatu za mwanzo hali ilikuaje na sasa hali ikoje kwenye urushaji wa makombora?
Iran alicho fanya kwanza kumaliza Radar zilizopo Gulf states na Jordan hizo zilikuwa kwa ajili ya kuilinda Israel. Afu akaanza kuwapa dozi za kutumia old stock za Missiles kuzi bleeding Air defense Missiles.Siku tatu za mwanzo ilikuwa ni kuudhofisha mfumo wa ulinzi wa Israel,ilibidi waushushie mzigo mkubwa ili uko collaspe,na kweli walifanikiwa,now wanajipigia tu mdogo mdogo