Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.