Trump Waarabu wanamcheza kama wazungu wanavyowacheza viongozi wa Afrika

Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.

Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.

Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
Kweli kabisa maneno yako hata nimeona kuna media kule USA zinasema warabu wanajua kucheza na akili za Trump 😆 😂
 
Si kweli, it's vice versa......siku zote Waarab ni wajinga kwa Wamarekani. Kila rais wa Kimarekani aingiaye madarakani anaanza kuwachachafia waarab kwa kujifanya wako upande wa Waisrael kitu ambacho Mwarab anaogopa. Wamarekani watawapa pressure Waarab mpaka wanasalimu amri na kutaka kununua ndege za kivita na kusupport agenda za Kimarekani ili tu nao walindwe na Wamarekani.
 
Kweli kabisa maneno yako hata nimeona kuna media kule USA zinasema warabu wanajua kucheza na akili za Trump 😆 😂
Wanafanya vile kumbusu Trump ili asiwasakame maana huko nyuma alikwishawahi kuwashutumu Waarab haswa hawa wa Qatar kuwa ni magaidi na ndiyo wao wanaodhamini magaidi wote hapa duniani. Wanafanya yote yale kwa ajili ya uoga tu, Waarab ni wapuuzi sana msiwatilie maanani, ni waoga sijapata kuona na ndiyo maana wanatumia watu wajinga kuvaa mabomu mwilini kujiua ila wao wadhamini hawajiui, wapo tu wanawacheka waliojiua.
 
....kaa hapo jidanganue eti waarabu wamecheza na akili yake.. hakuna kipya huko arabuni ambacho waarabu wanaweza kukitumia kumrubuni trump...alafu mambo ya ndege za kifahari trump amemiliki private jet tangu miaka ya themanini huko...boti za kifahari na majumba ya kifahari...hakuna kitu kipya mwarabu atamuonyesha Mmarekani..

Hebu jiulize kwa karne hii ya 21 ni kitu gani kipya mmarekani asichokijua ambacho kitacheza na akili ya Trump...

Ni ndege gani ya kifahari au jengo au meli ambayo marekani haipo??

Hata hiyo boeing waliyomzawadia inatengenezwa marekani pia...

Yaani msafara wote wa Trump kwenda Uarabuni ambao ameambatana na akina Elon Musk mtu tajiri duniani aliyenunua twitter kwa zaidi ya dola bilioni 40 ndio waje kutishwa na ka boeing cha dola mil 400??�😂😂 😂😂

Yaani thamani ya hivyo vizawadi walivyompa trump Pekee Elon Musk alitumia hela zaidi ya hiyo kufadhili kampeni za Trump kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana na chenchi ikabaki...
Mkuu utajiri wa trump haulingani na hao masheikh... Hijaona ndege imekuwa customized na ndiyo maana wamekosa mnunuzi. Na ndege yake binafsi trump N757AF mwaka 2011 ilikuwa na thamani ya $100 million dollars, hii 400 million dollars. Nadhani hapo unaweza kutenganisha mafuta na mchele. Trump hajawahi kumiliki ndege ghali kama hiyo. Hata ungekuwa tajiri vipi lazima zawadi ya $400 milioni iku impress
 
Wanafanya vile kumbusu Trump ili asiwasakame maana huko nyuma alikwishawahi kuwashutumu Waarab haswa hawa wa Qatar kuwa ni magaidi na ndiyo wao wanaodhamini magaidi wote hapa duniani. Wanafanya yote yale kwa ajili ya uoga tu, Waarab ni wapuuzi sana msiwatilie maanani, ni waoga sijapata kuona na ndiyo maana wanatumia watu wajinga kuvaa mabomu mwilini kujiua ila wao wadhamini hawajiui, wapo tu wanawacheka waliojiua.
Umeropoka hata uelewi unaropoka nini.
Waarabu wana mahesabu makali kuliko udhaniavyo wewe.
Zile zama za kupinga kwa active resistance washaachana nazo.
Sasa hivi wanatumia akili.
Wanakuuma huku wanapuliza.
Na ujanja huo huo umewafanya wa gain geopolitical power ulimwenguni.
Unapozungumzia mataifa ambayo yanasikilizwa ulimwenguni sasa hivi Qatar lazima ajumuishwe.
Wakati huo anaweka ukaribu na Westerners pia wakati huo huo anajiweka karibu na IRAN hasimu wa Westerners.
Jiulize amefikiria nini.
 
Mkuu utajiri wa trump haulingani na hao masheikh... Hijaona ndege imekuwa customized na ndiyo maana wamekosa mnunuzi. Na ndege yake binafsi trump N757AF mwaka 2011 ilikuwa na thamani ya $100 million dollars, hii 400 million dollars. Nadhani hapo unaweza kutenganisha mafuta na mchele. Trump hajawahi kumiliki ndege ghali kama hiyo. Hata ungekuwa tajiri vipi lazima zawadi ya $400 milioni iku impress
Mkuu unapaswa kufahamu ya kuwa Hiyo ndege hajapewa Trump iwe ya kwake bali imepewa Serikali ya marekani...Trump akiondoka madarakani anaiacha kwa matumizi ya serikali...ndege itakuwa chini ya US airforce ambayo ndiyo inatunza na kusimamia ndege zote za viongozi wa serikali

Pia unapaswa kufahamu hiyo ndege haijatengenezwa na waarabu bali imetengenezwa na kampuni ya Marekani Boeing.. kwa hiyo hakuna chochote cha kuwashtua wamarekani..wao ndiyo waliotengeneza hiyo ndege..
Pia unapaswa kujua ya kwamba Thamani ya Aiforce one iliyokuwa customised kwa ajili ya matumizi ya raisi ni zaidi ya dola bilioni nne 4Bil USD

Na hata hiyo waarabu waliowazawadia wamarekani haitatumika mwaka huu au mwaka kesho ni mpaka 2028 hukoo ni lazima ifanyiwe marekebisho ya kutosha iongezwe mifumo ya ulinzi na usalama kwanza na kufanyiwa maboresho zaidi mpaka kukidhi hadhi ya kutumiwa na raisi wa marekani.. kwa kifupi trump mwenyewe anaweza kuondoka madarakani bila kuitumia ikaja kutumiwa na kiongozi mwingine atakayefuata baada yake

Na serikali ya marekani haijakosa hela ya kununua ndege za kutumia viongozi wao....

Na ile kwamba Trump kapokea hiyo ndege haina maana kwamba Marekani wamekosa ndege ya raisi wao kusafiria kaipokea kama heshima ya kuthamini zawadi kutoka kiongozi wa nchi rafiki..

Aliwahi kuja Uhuru kenyata hapa akashukia Chato akapewa zawadi ya Ndege Tausi na raisi Magufuli Swali ni je Kenya nzima hakuna tausi?? Kwanini kenyata hakukataa na kumwambia Magufuli kule kwetu kuna tausi kama hawa?? Na wakati nairobi wamejaa tausi wengi tu??

Unakumbuka ziara ya raisi Magufuli kule Rwanda? Kagame alimpa Magufuli zawadi ya ng'ombe wa maziwa je..Tanzania ilivyo kubwa hakuna Ng'ombe wa maziwa.mpaka tupewe na Rwanda?

Unapompa mtu zawadi akaipokea haina maana kwamba huyo mtu hana hicho kitu au hana uwezo wa kukipata...wakati mwingine kukataa kitu maswali yanakuwa mengi zaidi ni bora kupokea hata kama hutakitumia....jifunze ni kwa nini viongozi wanatoa au kupokea zawadi...kiitifaki ina maana yake..ni zaidi ya kupungukiwa..au kuwa nacho.....
 
Umeropoka hata uelewi unaropoka nini.
Waarabu wana mahesabu makali kuliko udhaniavyo wewe.
Zile zama za kupinga kwa active resistance washaachana nazo.
Sasa hivi wanatumia akili.
Wanakuuma huku wanapuliza.
Na ujanja huo huo umewafanya wa gain geopolitical power ulimwenguni.
Unapozungumzia mataifa ambayo yanasikilizwa ulimwenguni sasa hivi Qatar lazima ajumuishwe.
Wakati huo anaweka ukaribu na Westerners pia wakati huo huo anajiweka karibu na IRAN hasimu wa Westerners.
Jiulize amefikiria nini.
Waarab wangekuwa wana mahesabu wasingewaogopa marais wa Marekani na ku-kiss their asses ili walindwe. Waarab ni wapuuzi mno, si watu wa kuwatilia maanani hata siku moja. Kingine, tambua kuwa unapokuwa na hela lazima utasikilizwa tu, after all, marais wa Marekani are only there to make money for themselves kupitia ujinga na uwoga wa Waarab. Wanawatia jamba jamba kwanza, wakipanic (waarab) wanaomba kununua ndege za vita na kuongeza ndege za kawaida. Jiulize, mwarab ananunua ndege za vita toka Marekani ana vita na nani? Wale jamaa ni mazwazwa kupititliza.
 
Sijasoma post zote inawezekana ninacho andika tayari kishasemwa partly.

Serikali ya Qatar wamenunua share $2 billion kwenye Trump backed Crypto. Kabla ya ziara yake.

Boeing anayotumia kapewa na Qatar kwa madai ya kuwa airforce one mpya imechelewa (not sure. US security walikubali hilo).

Put it in perspective ‘Xi Jinping’ na yeye anatumia Boeing. Hila hiyo ndege ni body tu; wachina waliifumua yote wire to wire yote for bugs check.

Na kuifanyia wiring upya kwa usalama wao.

Leo una raisi wa US ambae aoni shida kupokea ndege ya zawadi na anapa huku akisindikizwa na Qatar airforce.

Hilo ni somo kwa EU, their counter part security wise ni very weak, kwa nchi zao civil servants huo upuuzi auwezekani.

Yaani Trump ameonyesha allies zao, they ain’t shit; wanategemea counter intelligence zao.

Someone like Trump is not possible in Europe. Usalama wa US ni inferior; ni wazi counter intelligence ilikuwa inawasaidia.

Ni weak
 
Ni lini Trump kapewa na yeye kuipokea hiyo ndege? Jana? Juzi? Tarehe na mwezi gani? Mwaka gani?
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=yFhOYH4koqs&pp=ygUeVHJ1bXAgb24gcmVjZWl2aW5nIFFhdGFyIHBsYW5l

☝️Mwenyewe huyo akitetea kuwa tayari
kupokea hiyo ndege kwa justification zake.

View: https://m.youtube.com/watch?v=zjzmfCMqSAo&pp=ygUmYWlyIGZvcmNlIG9uZSBlc2NvcnRlZCBieSBmaWdodGVyIGpldHM%3D

☝️Hiyo hapo Air force ikiingia Qatar (huku ikipolelewa) na ndege za wenyeji. Tip isingekuwa ‘news worthy’ kama ni normal practice. It’s a serious security breach.
 
🤣🤣

Aisee! Sijui ni lugha gongana au ni nini hasa.

Caption inasema “Trump defends plan to accept”.

Na kwenye video wanazungumzia Mpango wa kutaka kuipokea hiyo ndege.

Maana yake ni kwamba hiyo ndege bado hajaipokea.

Bado anatumia ile ile ya zamani iliyoanza kutumika mwaka 1990.

Wewe unasema kabisa kuwa Trump ndege anayotumia kapewa na Qatar!

Kusoma na kuelewa sikujua ni kazi ngumu kiasi hicho.

Lakini hata kusikiliza na kuangalia video nako ni kugumu pia?
 
Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.

Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.

Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
"United States of America has no permanent friends but permanent interests"
 
Mkuu unapaswa kufahamu ya kuwa Hiyo ndege hajapewa Trump iwe ya kwake bali imepewa Serikali ya marekani...Trump akiondoka madarakani anaiacha kwa matumizi ya serikali...ndege itakuwa chini ya US airforce ambayo ndiyo inatunza na kusimamia ndege zote za viongozi wa serikali

Pia unapaswa kufahamu hiyo ndege haijatengenezwa na waarabu bali imetengenezwa na kampuni ya Marekani Boeing.. kwa hiyo hakuna chochote cha kuwashtua wamarekani..wao ndiyo waliotengeneza hiyo ndege..
Pia unapaswa kujua ya kwamba Thamani ya Aiforce one iliyokuwa customised kwa ajili ya matumizi ya raisi ni zaidi ya dola bilioni nne 4Bil USD

Na hata hiyo waarabu waliowazawadia wamarekani haitatumika mwaka huu au mwaka kesho ni mpaka 2028 hukoo ni lazima ifanyiwe marekebisho ya kutosha iongezwe mifumo ya ulinzi na usalama kwanza na kufanyiwa maboresho zaidi mpaka kukidhi hadhi ya kutumiwa na raisi wa marekani.. kwa kifupi trump mwenyewe anaweza kuondoka madarakani bila kuitumia ikaja kutumiwa na kiongozi mwingine atakayefuata baada yake

Na serikali ya marekani haijakosa hela ya kununua ndege za kutumia viongozi wao....

Na ile kwamba Trump kapokea hiyo ndege haina maana kwamba Marekani wamekosa ndege ya raisi wao kusafiria kaipokea kama heshima ya kuthamini zawadi kutoka kiongozi wa nchi rafiki..

Aliwahi kuja Uhuru kenyata hapa akashukia Chato akapewa zawadi ya Ndege Tausi na raisi Magufuli Swali ni je Kenya nzima hakuna tausi?? Kwanini kenyata hakukataa na kumwambia Magufuli kule kwetu kuna tausi kama hawa?? Na wakati nairobi wamejaa tausi wengi tu??

Unakumbuka ziara ya raisi Magufuli kule Rwanda? Kagame alimpa Magufuli zawadi ya ng'ombe wa maziwa je..Tanzania ilivyo kubwa hakuna Ng'ombe wa maziwa.mpaka tupewe na Rwanda?

Unapompa mtu zawadi akaipokea haina maana kwamba huyo mtu hana hicho kitu au hana uwezo wa kukipata...wakati mwingine kukataa kitu maswali yanakuwa mengi zaidi ni bora kupokea hata kama hutakitumia....jifunze ni kwa nini viongozi wanatoa au kupokea zawadi...kiitifaki ina maana yake..ni zaidi ya kupungukiwa..au kuwa nacho.....
Rudi kasikilize tena, inaenda kuwa ya organization ambayo inamilikiwa na familia yake na akiacha uraiis bado ataendelea kuitumia. Hii ni kwa mujibu wa NBC news... Pia wanasema hiyo ndege inabidi ibadilishe kuwa na tech na miundombinu ya matumizi ya rais ambapo itachukua mufa mrefu na gharama kubwa na kuna uwezekano hadi anamaliza kipindi chake haitakuwa ready.

And mind you trump kipindi chake cha kwanza alianzisha project ya kuunda ndege mbili za rais ambayo mpaka sasa hazijawahi kukamilika. Pia kumbuka kuna sheria za marekani zinazomtaka rais kabla ya kukubali zawadi kuzidi kaisi fulani hata kama inapewa serikali lazima zawadi hiyo ipitishe baraza.
Kuna kitu nimekigundua.... Hata wamarekani this time wamepatikana. Trump anavunja katiba yao na it seems hawana la kumfanya.
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=yFhOYH4koqs&pp=ygUeVHJ1bXAgb24gcmVjZWl2aW5nIFFhdGFyIHBsYW5l

☝️Mwenyewe huyo akitetea kuwa tayari
kupokea hiyo ndege kwa justification zake.

View: https://m.youtube.com/watch?v=zjzmfCMqSAo&pp=ygUmYWlyIGZvcmNlIG9uZSBlc2NvcnRlZCBieSBmaWdodGVyIGpldHM%3D

☝️Hiyo hapo Air force ikiingia Qatar (huku ikipolelewa) na ndege za wenyeji. Tip isingekuwa ‘news worthy’ kama ni normal practice. It’s a serious security breach.

Hizo ndege za kivita za US au za Qatar maana US wana military base hapo na trump aliwatembelea wanajeshi. Trump kama mbongo akagusia uchaguzi uliopita aliposhindwa eti akidai matokeo hayakuwa kama yalivyopaswa kuwa 😂😂😂
 
Acha kupotosha. Qatar hawajampa Trump ndege.

Kilichopo ni wanazungumzia kumpa.

Kuna mambo mengi sana ya kuzingatia kabla ‘zawadi’ kubwa sana kama hiyo haijatolewa na hatimaye kupokelewa.

Kuzungumzia kumpa hiyo ndege na kumpa hiyo ndege ni mambo mawili tofauti.

Reading comprehension, please.
We jamaa sometimes huwa unajisahau kuwa we ni mwafrika maana kutwa humu jf kazi yako ni kuwatetea
 
Rudi kasikilize tena, inaenda kuwa ya organization ambayo inamilikiwa na familia yake na akiacha uraiis bado ataendelea kuitumia. Hii ni kwa mujibu wa NBC news... Pia wanasema hiyo ndege inabidi ibadilishe kuwa na tech na miundombinu ya matumizi ya rais ambapo itachukua mufa mrefu na gharama kubwa na kuna uwezekano hadi anamaliza kipindi chake haitakuwa ready.

And mind you trump kipindi chake cha kwanza alianzisha project ya kuunda ndege mbili za rais ambayo mpaka sasa hazijawahi kukamilika. Pia kumbuka kuna sheria za marekani zinazomtaka rais kabla ya kukubali zawadi kuzidi kaisi fulani hata kama inapewa serikali lazima zawadi hiyo ipitishe baraza.
Kuna kitu nimekigundua.... Hata wamarekani this time wamepatikana. Trump anavunja katiba yao na it seems hawana la kumfanya.
Trump kavunjaje katiba?
 
Trump kavunjaje katiba?
Kugeuza kila kitu anachotaka kupitisha kuwa ni dharura ili kubypass congress hata kama si emergence...
Lakini jambo la kufurahisha zaidi kutumia ikulu kufanya biashara kitu ambacho nyuma angefanya rais yeyote ingekuwa scandal ambayo bila shaka ingemwondoa madarakani. Lakini trump anafanya haa biila kujificha...
Unaweza kusikiliza vitu 10 alivyofanya kwa mgongo wa ikulu hapa nna kama iko sawa basi na wewe unaweza kunnihabarisha nikaelewa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=000yxkGXSVM
 
Hizo ndege za kivita za US au za Qatar maana US wana military base hapo na trump aluwatembelea wanajeshi. Trump kama mbongo akagusia uchaguzi uliopita aliposhindwa eti akidai matokeo hayakuwa kama yalivyopaswa kuwa 😂😂😂
Kiongozi ‘Air Force 1’ sio ndege inayoongozwa kwa mzaha-mzaha.

Elewa security details za US president Ndio ujue madhara yake ndege kupaa na ulinzi wa Qatar defence (but then no one cares what Trump does anymore).

Anyway nahitaji msaada wako, kwa mambo yetu yale. nitakutafuta soon.

Hope ujanichoka, usiwe unasoma majibizano yangu ya JF (not so serious to me).
 
Back
Top Bottom