Mkuu watu wanadhani Trump/USA wapo kama sie ukisikia vya kipewa basi hujiuliziTrump hajapewa hiyo ndege na wala hakuna uhakika kuwa atapewa.
Huwezi kuibadili ndege ya kawaida kuwa Air Force One kirahisi.
Kufanya hivyo kutachukua miaka kadhaa na itagharimu takriban dola bilioni moja.
Ndege ina thamani ya dola milioni 400.
Tayari sasa hivi Boeing wanatengeneza ndege mbili za Rais ambazo zitakuwa tayari miaka michache ijayo.
Unafikiri Trump ni kilaza kama yule raisi wa karafuu nchi fulaniJana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
A kuwavua watoto mabkra hijabuTrump ameingia kwenye misikiti yao akiwa amevaa viatu
We ngedere huna uwezo wa kuchambua mambo ya Trump. Marekani ni hbr nyingine hakuna mwarabu anaweza kuichezea akiliJana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
....kaa hapo jidanganue eti waarabu wamecheza na akili yake.. hakuna kipya huko arabuni ambacho waarabu wanaweza kukitumia kumrubuni trump...alafu mambo ya ndege za kifahari trump amemiliki private jet tangu miaka ya themanini huko...boti za kifahari na majumba ya kifahari...hakuna kitu kipya mwarabu atamuonyesha Mmarekani..Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
Kabisa....marais wa marekani wakitembeleaga nchi nyingine hua "wanajiachia" mtu kama hujui unaweza dhani wamenaswa kizembe kumbe waapi. Wanakuaga na technical teams veryfocused ambao show zote za negotiation..contracts etc wanasimamia.Tramp uzuri siyo fala
Ova
As long as Viatu sio vichafu ni sunna kuswali na Viatu. Wakristo wa JF islamophobe imewajaa, dini hamuijui ila kila siku mna spread uongo tu. Mngekua na morali hii hii kusoma Ukristo dini yenu isingekua inachakachuliwa kila siku.Trump ameingia kwenye misikiti yao akiwa amevaa viatu
Trump anataka hela, waarabu wana hela ambazo zinataka kuwekeza, kila mtu anamtumia mwenzake, kila mtu anafaidika.....kaa hapo jidanganue eti waarabu wamecheza na akili yake.. hakuna kipya huko arabuni ambacho waarabu wanaweza kukitumia kumrubuni trump...alafu mambo ya ndege za kifahari trump amemiliki private jet tangu miaka ya themanini huko...boti za kifahari na majumba ya kifahari...hakuna kitu kipya mwarabu atamuonyesha Mmarekani..
Hebu jiulize kwa karne hii ya 21 ni kitu gani kipya mmarekani asichokijua ambacho kitacheza na akili ya Trump...
Ni ndege gani ya kifahari au jengo au meli ambayo marekani haipo??
Hata hiyo boeing waliyomzawadia inatengenezwa marekani pia...
Yaani msafara wote wa Trump kwenda Uarabuni ambao ameambatana na akina Elon Musk mtu tajiri duniani aliyenunua twitter kwa zaidi ya dola bilioni 40 ndio waje kutishwa na ka boeing cha dola mil 400??�😂😂 😂😂
Yaani thamani ya hivyo vizawadi walivyompa trump Pekee Elon Musk alitumia hela zaidi ya hiyo kufadhili kampeni za Trump kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana na chenchi ikabaki...
Buckingham palace please!Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
Ingelikua unachosema ni sahihi kuwa ana timu makini basi asingefanya ufala kama alioufanya wa tarrif war.Kwamba Arabs wanamchezea Trump akili?Hicho ni kichekesho.Trump ni mfanyabiashara mzoefu,tajiri na ni Rais wa taifa tajiri.Haendi uarabuni kama zuzu.Ana timu madhubuti yenye mikakati yenye kuangalia USA hadi ya keshokutwa kulingana na wanachokilenga kukuza ukubwa wao katika nyanja zote duniani.Usmilinganishe Trump/USA na vimbwenerehi wengine hasa kutoka Afrika.
Qatar huwa mnaichukulia nyepesi sana,Qatar ina viongozi makini sana.Unapomuona US anakutilia maguu ujue tayari ashaona mzigo wa kutosha ule paleee, win win situation lakini mmoja lazima apate zaidi ambaye ni USA.
Marekani ishachezewa akili muda sana.We ngedere huna uwezo wa kuchambua mambo ya Trump. Marekani ni hbr nyingine hakuna mwarabu anaweza kuichezea akili
Na hiyo point ya Iran mkuu hadi umeona USA anafikiria kuzungumza na Iran jua mediator mkubwa alikua QATAR.Wanaweza kwa kutumia hela....
Hii ndio nguvu ya hela....
Hio ndege alishakubali kichwakichwa, lakini akaambiwa atulize mshono kutokana kelele nyingi zilizopigwa na wapinzani wake
Sitashangaa ataipokea kama zawadi baada ya muda wake kuisha.....
![]()
Trump administration poised to accept 'palace in the sky' as a gift for Trump from Qatar: Sources
President Trump poised to accept "palace in the sky" as a gift from Qatar: Sourcesabcnews.go.com
- Mr. Trump announced an agreement with the Iranian-backed Houthi militias in Yemen to halt U.S. airstrikes against the militants.
- Mr. Trump heads this week to the Middle East for his first major foreign trip, without visiting Israel while Netanyahu was first to beg for Trump visit.
- Mr. Trump rejected Mr. Netanyahu’s desire for joint military action to take out Tehran’s nuclear abilities. Instead, Mr. Trump has begun talks with Iran.
Trump ameingia kwenye misikiti yao akiwa amevaa viatu
As long as Viatu sio vichafu ni sunna kuswali na Viatu. Wakristo wa JF islamophobe imewajaa, dini hamuijui ila kila siku mna spread uongo tu. Mngekua na morali hii hii kusoma Ukristo dini yenu isingekua inachakachuliwa kila siku.
View attachment 3336166
Na hapa mfalme wa Saudia na imam mkuu wa Mecca Sudais na Viatu
View attachment 3336169