- Thread starter
- #61
Miimi nimeuliza hizo ndege zilizompokea zilikuwa za Qatar au za jeshi la Marekani wenyewe? Maana US ana military base Qatar pale na trump aliwatembelea wanajeshi walioko hapo.Kiongozi ‘Air Force 1’ sio ndege inayoongozwa kwa mzaha-mzaha.
Elewa security details za US president Ndio ujue madhara yake ndege kupaa na ulinzi wa Qatar defence (but then no one cares what Trump does anymore).
Anyway nahitaji msaada wako, kwa mambo yetu yale. nitakutafuta soon.
Hope ujanichoka, usiwe unasoma majibizano yangu ya JF (not so serious to me).
By the way kila kitu kinawezekana trump anafanya vitu vingi ambavyo watangulizi wake ilikuwa mwiko. Mimi nilichopenda ni pale anasifia nyumba ya Sheikh sijui ndiye waziri mkuu, nice house very nice house very beautifu... this is the meaning of perfection... jamani msije sema nimenukuu neno kwa neno lakini alisema hivyo.