is it?!!!? ni kama alivua vile?!? au niliona vibaya!!!!Trump ameingia kwenye misikiti yao akiwa amevaa viatu
Jidanganye hadi unyonyoke nywele kwa kujikuna utosini.Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
Anadhani Trump ni wa kupandishwa school bus kama Marais wa Guinea zote za duniani.Mwache ashangae cyber trucks hadi meno yamdomdoke.Achana na mawazo mgado ndugu, trump sio boya kiivo anajua vizuri anachofanya.....hao watu ni level nyingine kabisa
Hiv unajua mkataba Marekani wameingia na hao watu unathaman gan mkuu au unaongea tuJana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
Khaaaa wewe kweli?Trump ameingia kwenye misikiti yao akiwa amevaa viatu
Kipi nilichodanganya hapo?Jidanganye hadi unyonyoke nywele kwa kujikuna utosini.
Hukuona nilichoandika au?Hiv unajua mkataba Marekani wameingia na hao watu unathaman gan mkuu au unaongea tu
qatar inamhonga bw. trump. hata hiyo ndege imeleta maneno nchini marekani hata kwa baadhi ya republicans.... yeye trump anakwambia kukaa zawadi kama hiyo ni ukichaaAchana na mawazo mgado ndugu, trump sio boya kiivo anajua vizuri anachofanya.....hao watu ni level nyingine kabisa
Acha kupotosha. Qatar hawajampa Trump ndege.Jana Trump alikuwa Qatar, ukitazama ziara yake Qatar wamecheza na akili yake. Yale mapokezi ya msafari wa ngamia na cyber trucks si mchezo. Jamaa wakafamfanya ajisiikie kama Mfalme, pia wakampa zawadi ya boeing yenye thamani ya Dola milioni 400. Imeundwa mwaka 2012 kwa ajili ya aliyekuwa waziri mkuu wa Qatar. Baada ya hapo wamejaribu kuiiuza bila kumpata mnunuzi naona wameamua kuigiawa kwa Trump.
Trump amekuwa impressed maana Qatar pia wana mpango wa kuwekeza pesa ndefu Marekani.
Trump kila kitu anashangaa anasifia hadi nyumba ya Sheikh anamwambia nice house nice house this is a definition of perfection....
Kanikumbusha Benard Membe alivyobebwa na farasi akipelekwa Birmingham palace wakati wakihisi anaweza kuwa rais wa TZ.
Trump mfanyabiashara, pia serikali ya Pakstan imesaini mkataba na taasisi ya familia ya Trump kuifanya Pakstan kuwa crypto hub.
Kumbuka pia awamu ya kwanza ya Trump, Bin Salman aliwekeza kwenye taasisi ya mkwe wake Trump dola bilioni mbili. Trump anajua kula na waarabu na waarabu wanajua kula naye.
Hukuona nilichoandika au?
Kwamba Arabs wanamchezea Trump akili?Hicho ni kichekesho.Trump ni mfanyabiashara mzoefu,tajiri na ni Rais wa taifa tajiri.Haendi uarabuni kama zuzu.Ana timu madhubuti yenye mikakati yenye kuangalia USA hadi ya keshokutwa kulingana na wanachokilenga kukuza ukubwa wao katika nyanja zote duniani.Usmilinganishe Trump/USA na vimbwenerehi wengine hasa kutoka Afrika.Kipi nilichodanganya hapo?
Kwa hiyo,katika yote yenye manufaa kwa USA wewe na hao wenzako mmeona ndege tu?Hivi ameshapewa hiyo ndege?qatar inamhonga bw. trump. hata hiyo ndege imeleta maneno nchini marekani hata kwa baadhi ya republicans.... yeye trump anakwambia kukaa zawadi kama hiyo ni ukichaa
Trump hajapewa hiyo ndege na wala hakuna uhakika kuwa atapewa.Kwa hiyo,katika yote yenye manufaa kwa USA wewe na hao wenzako mmeona ndege tu?Hivi ameshapewa hiyo ndege?