Trump Waarabu wanamcheza kama wazungu wanavyowacheza viongozi wa Afrika

Mkuu watu wanadhani Trump/USA wapo kama sie ukisikia vya kipewa basi hujiulizi
 
Unafikiri Trump ni kilaza kama yule raisi wa karafuu nchi fulani
 
We ngedere huna uwezo wa kuchambua mambo ya Trump. Marekani ni hbr nyingine hakuna mwarabu anaweza kuichezea akili
 
....kaa hapo jidanganue eti waarabu wamecheza na akili yake.. hakuna kipya huko arabuni ambacho waarabu wanaweza kukitumia kumrubuni trump...alafu mambo ya ndege za kifahari trump amemiliki private jet tangu miaka ya themanini huko...boti za kifahari na majumba ya kifahari...hakuna kitu kipya mwarabu atamuonyesha Mmarekani..

Hebu jiulize kwa karne hii ya 21 ni kitu gani kipya mmarekani asichokijua ambacho kitacheza na akili ya Trump...

Ni ndege gani ya kifahari au jengo au meli ambayo marekani haipo??

Hata hiyo boeing waliyomzawadia inatengenezwa marekani pia...

Yaani msafara wote wa Trump kwenda Uarabuni ambao ameambatana na akina Elon Musk mtu tajiri duniani aliyenunua twitter kwa zaidi ya dola bilioni 40 ndio waje kutishwa na ka boeing cha dola mil 400??�😂😂 😂😂

Yaani thamani ya hivyo vizawadi walivyompa trump Pekee Elon Musk alitumia hela zaidi ya hiyo kufadhili kampeni za Trump kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana na chenchi ikabaki...
 
Tramp uzuri siyo fala

Ova
Kabisa....marais wa marekani wakitembeleaga nchi nyingine hua "wanajiachia" mtu kama hujui unaweza dhani wamenaswa kizembe kumbe waapi. Wanakuaga na technical teams veryfocused ambao show zote za negotiation..contracts etc wanasimamia.

Wenzetu hawa sio sisi wa kusaini mikataba hotelini kichwa kichwa bila.kusoma.

Hapo utamuona kama anakula bata na kujichekesha...ila wako well focused.
 
Trump ameingia kwenye misikiti yao akiwa amevaa viatu
As long as Viatu sio vichafu ni sunna kuswali na Viatu. Wakristo wa JF islamophobe imewajaa, dini hamuijui ila kila siku mna spread uongo tu. Mngekua na morali hii hii kusoma Ukristo dini yenu isingekua inachakachuliwa kila siku.



Na hapa mfalme wa Saudia na imam mkuu wa Mecca Sudais na Viatu

 
Wanaweza kwa kutumia hela....
Hii ndio nguvu ya hela....
Hio ndege alishakubali kichwakichwa, lakini akaambiwa atulize mshono kutokana kelele nyingi zilizopigwa na wapinzani wake
Sitashangaa ataipokea kama zawadi baada ya muda wake kuisha.....
  • Mr. Trump announced an agreement with the Iranian-backed Houthi militias in Yemen to halt U.S. airstrikes against the militants.
  • Mr. Trump heads this week to the Middle East for his first major foreign trip, without visiting Israel while Netanyahu was first to beg for Trump visit.
  • Mr. Trump rejected Mr. Netanyahu’s desire for joint military action to take out Tehran’s nuclear abilities. Instead, Mr. Trump has begun talks with Iran.
 
Trump anataka hela, waarabu wana hela ambazo zinataka kuwekeza, kila mtu anamtumia mwenzake, kila mtu anafaidika.
 
Buckingham palace please!
 
Ingelikua unachosema ni sahihi kuwa ana timu makini basi asingefanya ufala kama alioufanya wa tarrif war.
Naona unaropoka bro huongei.
Trump Kuna policies nyingi tu tangu alipokua rais kabla ya Biden alizi implement na zikam back fire.
 
Unapomuona US anakutilia maguu ujue tayari ashaona mzigo wa kutosha ule paleee, win win situation lakini mmoja lazima apate zaidi ambaye ni USA.
Qatar huwa mnaichukulia nyepesi sana,Qatar ina viongozi makini sana.
Kwa mtindo huu huu umemfanya a gain geopolitical interests mashariki ya kati na duniani.
Hapo amemualika Trump ila pia ni mshirika mzuri wa IRAN na anayoyafanya.
 
We ngedere huna uwezo wa kuchambua mambo ya Trump. Marekani ni hbr nyingine hakuna mwarabu anaweza kuichezea akili
Marekani ishachezewa akili muda sana.
Msiwachukulie hao waarabu vilaza.
Kudhani kuwa hao waarabu vilaza ni ufinyu wa fikra wa watu kama ninyi mnaoendeshwa kishabiki.
 
Na hiyo point ya Iran mkuu hadi umeona USA anafikiria kuzungumza na Iran jua mediator mkubwa alikua QATAR.
 



Halafu zaidi ni kwamba huyo Trump alivua viatu sasa, kinyume na anavyosema huyo.


Naam, kuswali na viatu ni katika Sunnah. Ili mradi viwe visafi. Hili wasio Waislam na hata baadhi ya Waislam hawajui.


Allah akulipe kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…