Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpiga mwing has a very thin skin. Yani watu kutoa pongezi tu anawatimua? She couldn't stoop lower.
 
Ni kosa kumshukuru mtu katika kuwa nae katika utumishi?, kumtakia mema pia ni kosa?. Roho mbaya na ujuha wa Wtz ni hatari.
 
Naona unatumia fikra zako wapi nimesema sikubaliani na utenguzi?
 
Ni kosa kumshukuru mtu katika kuwa nae katika utumishi?, kumtakia mema pia ni kosa?. Roho mbaya na ujuha wa Wtz ni hatari.
Si wangempigia simu tu inatosha unatoa tangazo kwa faida ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…