Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpiga mwing has a very thin skin. Yani watu kutoa pongezi tu anawatimua? She couldn't stoop lower.
 
Ni kosa kumshukuru mtu katika kuwa nae katika utumishi?, kumtakia mema pia ni kosa?. Roho mbaya na ujuha wa Wtz ni hatari.
 
Naona kama kichwa cha habari kinapingana na mtazamo wa maelezo yako ndani. Unakubali kuwa walichokifanya ni utonvu wa nidham, kisha hukubaliani na utenguzi wa waziri kufuatia wizara ilichokifanya. Anyway, wote hao niserikali, rais na waziri wote ni serikali,acha wawajibishane
Naona unatumia fikra zako wapi nimesema sikubaliani na utenguzi?
 
Ni kosa kumshukuru mtu katika kuwa nae katika utumishi?, kumtakia mema pia ni kosa?. Roho mbaya na ujuha wa Wtz ni hatari.
Si wangempigia simu tu inatosha unatoa tangazo kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom