Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

Nakubaliana na hoja yako, ya viongozi kuweka wazi changamoto zao za kiafya kwani afya zao zina maslahi ya nchi. Hata hivyo, umeeleza mifano mingi ya uongo uongo kwa kutumia terminologies ambazo sio sahihi kwenye medicine. Unaikosea sana hii Noble profession. Unasema Nyerere alikufa kwa Acute Lymphoblastic Leukemia, yet unasema alikaa na ugonjwa huo for long time. How can a disease be of acute onset yet mtu akakaa nao muda mrefu? What is the 5 year survival rate ya ALL?

Kuhusu Viongozi kuwa na historia ya magonjwa ya Kudumu Vs Conspiracy;
Kuwa na ugonjwa wa kudumu, haina maana kuwa lazima kifo kitokane na ugonjwa huo. A diabetic patient can die from poisoning au any form ya homicide just as the rest of the population. So, chronic disease yes ni risk kwa baadhi kupata Sudden cardiac death lakini sio MUST na haiwezi ku rule out other causes of sudden death like Homicides.
 
1. hamna ulichoelewa! Umetamani tu kujibu
2. Kama Unasema kuna mtu kawekewa Sumu, letq Ushahidi. Ukishindwa…. Please let it be Conspiracy….. watizedi mpo kwenye jela ya mawqzo na utumwa ndio maana kila kitu kwenu ni conspiracy, speculation na umbea
Mna baseless claim sana na
Mnajazana uongo sana
 
"Watu wazuri huwa hawafi"
 
Sijasema Ndugai kauawa au laa. Ninachokueleza ni Medicine. Ni elimu ndogo tuu ya Forensic Pathology inayohitajika ili unielewe. Homicides or Natural death? Unatakiwa ufanye postmortem. And, why do you think kwamba viongozi hawawezi kuwa poisoned? Ukisoma Epidemiology ya Poisoning kwenye Forensic Pathology, utakubaliana nami kuwa, poisoning ni common cause of Sudden Death kwa viongozi.

Kuhusu Ayubu, personally naamini itakua ni normal Sudden cardiac death possibly secondary to the chronic diseases ambazo amekua nazo. Postmortem itasema kweli.
 
Soma tena Mada, you are out of it

You are everywhere
 
Na Ayubu ndio kitu gani ?
 
Kabisa enzi za mashangingi TZC wabunge na mawaziri wengi waligundulika na HIV lakini ikawa siri pale mnadani tulilewa na kula nyama choma ba baadae tunakamata mademu na kuwapiga mikasi....HAPO VP......
 
Andiko zuri sema kwa huku ni ngumu kwa sababu wengi wana gonjwa ambalo ni gumu kutangaza hadharani.... lakini hizo conspiracy sio za kupuuza kabisa. Mambo huwa ni mengi sana siasani.
 
Andiko zuri sema kwa huku ni ngumu kwa sababu wengi wana gonjwa ambalo ni gumu kutangaza hadharani.... lakini hizo conspiracy sio za kupuuza kabisa. Mambo huwa ni mengi sana siasani.
Kivip
 
Ni kweli, magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama saratani ya tezi dume, kisukari, na CVI yanasababisha 74% ya vifo duniani (WHO, 2023), Tanzania ikiona ongezeko la 25% kwa miaka 10 iliyopita. Uwajibikaji wa viongozi juu ya afya zao ni muhimu kujenga imani ya wananchi.
Sera na sheria zikiboresha uwazi, tutaondoa uvumi na kuongeza uelewa, hivyo kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika.
 
Ni kweli, magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama saratani ya tezi dume, kisukari, na CVI yanasababisha 74% ya vifo duniani (WHO, 2023), huku Tanzania ikiona ongezeko la 25% kwa miaka 10 iliyopita (Tanzania NCD Alliance, 2022). Viongozi wana multiple factors zinazowafanya kuwa prone to disease kuliko watu wa kawaida. Viongozi wa Afrika wanaishi unhealthy life, wengi wao wakiwa wametoka kwenye maisha ya kifukara; sijui huwa ni nini kinawaingia. AC kwenye V8, sleeping pattern inakuwa a bit unknown, brain inakuwa active over 95% ya muda wote, vyakula visivyo na uwiano, na mtindo wa maisha usio na mazoezi unachochea hatari zaidi. Uwajibikaji wa viongozi juu ya afya zao ni muhimu kujenga imani ya wananchi.

Sera na sheria zikiboresha uwazi, tutaondoa uvumi na kuongeza uelewa, hivyo kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika.
 
Mwandishi kawa selfish kidogo, hakutaja remedies na life style!

Kuna magonjwa mengi hapo ni life style. Mtu akaaa masaa 8. Anakunywa pombe na nyama mafuta kila siku na hata hana mazoezi hakuna. Nani anathamini gym bongo? Au jogging at least one hour a day? From a V8 to a bar then home to sleep
 
Viongozi hasa wabunge wanaendekeza ngono na wengi wamepata ukimwi so ukiwa na ukimwi plus sukari na pressure unafikiri inakuaje ,

Poor lifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…