MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hii ilikuwa kasoro kuu ya Lemutuz. NdumilakuwiliMke wa Davis Mosha alimuonya mumewe amteme lemetuz siyo rafiki wa kweli. Magufuli aliposhinda urais na Davis mosha kukosa connection lemutuz akamkacha.
Ila R.I.P babu kijana.
We mzee mwaga hata machache kuhusu hizo siriUsimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
Kuna siri ganiUsimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
Alikuwa wa ovyo Kwa vigezo vya nani?
Kwa vigezo vyako binafsi?
Au Kwa imani yako ?
Why tunapenda Ku judge watu Kwa kupitia vigezo vyetu ambavyo sio universal??
Umalaya unaweza thibitisha?au picha za Instagram na warembo ndo uthibitisho?
Pombe?lini ulimuona akinywa? Au picha Akiwa wavuvi ndo ushahidi wako??
Why mnapenda kuishi kinafiki?kujifanya watu wema Kwa nje huku mna madhambi ya kutisha Kwa Siri huku mnahukumu watu Kwa picha za mitandaoni?
Professor NdumilakuwiliHii ilikuwa kasoro kuu ya Lemutuz. Ndumilakuwili
Alikufanyaje mkuu wewe km wewe ?Le MUTUZ ni mshenzi tu.
Afadhali amededi.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Kumbe na wewe hukosea kuandika?Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, smuwrke popote anapostahiki.
Tufateni yetu tukuwabhai, tujitshidi kufanya yrtu kwa wrma na uadilifu.
Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Sawa Shangazi tumekusikia,Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, smuwrke popote anapostahiki.
Tufateni yetu tukuwabhai, tujitshidi kufanya yrtu kwa wrma na uadilifu.
Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Huo ni usingizi tu itakua Mimi nimemwelewa Shangazi,Kumbe na wewe hukosea kuandika?
Mtu akikoseaga kuandika..huambiwa shuleni alisomea ujinga?Huo ni usingizi tu itakua Mimi nimemwelewa Shangazi,
❤️❤️❤️😍Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, smuwrke popote anapostahiki.
Tufateni yetu tukuwabhai, tujitshidi kufanya yrtu kwa wrma na uadilifu.
Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Mkuu huyo nmekwambia ni usingizi plus typing error,Mtu akikoseaga kuandika..huambiwa shuleni alisomea ujinga?
Hivi huwa haelewi kuwa kukosea ni kawaida?
Uwatete na wale anaowasuta piaMkuu huyo nmekwambia ni usingizi plus typing error,
So unampangia aishi vipi?kama wewe ama?Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.