Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Alikuwa wa ovyo Kwa vigezo vya nani?
Kwa vigezo vyako binafsi?
Au Kwa imani yako ?

Why tunapenda Ku judge watu Kwa kupitia vigezo vyetu ambavyo sio universal??

Umalaya unaweza thibitisha?au picha za Instagram na warembo ndo uthibitisho?
Pombe?lini ulimuona akinywa? Au picha Akiwa wavuvi ndo ushahidi wako??

Why mnapenda kuishi kinafiki?kujifanya watu wema Kwa nje huku mna madhambi ya kutisha Kwa Siri huku mnahukumu watu Kwa picha za mitandaoni?

I concur!
Haya ndio maisha yetu ya kizandiki, fitna na kutokuheshimu kile mtu ameamua namna ya kuishi! Waswahili tunapenda kupangia watu maisha na kuingilia yasiyotuhusu!
 
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.

UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.

Hao vijana wakajifunze kwa wazazi wao.
Mtu ashindwe kuishi uhuru wake kwa ajili ya vijana asiowajua?
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.

Mngemhukumu alipokuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, amuweke popote anapostahiki.

Tufateni yetu tukiwa hai, tujitahidi kufanya yetu kwa wema na uadilifu.

Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.

Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, smuwrke popote anapostahiki.

Tufateni yetu tukuwabhai, tujitshidi kufanya yrtu kwa wrma na uadilifu.

Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Kumbe na wewe hukosea kuandika?
 
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.

Mngemuhujynu skulijuwa hai, sasa hivi hukumu zetu hazisaidii kitu, tumwache yeye na Muunba wake, smuwrke popote anapostahiki.

Tufateni yetu tukuwabhai, tujitshidi kufanya yrtu kwa wrma na uadilifu.

Tuamrishane mema na tukatazane mabaya bila kuzisahau nafsi zetu.
Sawa Shangazi tumekusikia,
 
❤️❤️❤️😍
 
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.

Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);

1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)

Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.

Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.

UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
So unampangia aishi vipi?kama wewe ama?

We live once..ukipata nafasi ya ku-enjoy aisee kula bata usivunge maisha ni mafupi.

Ukianza kujali wanadam wajaalana watasema nini hutoboi,hata utende mema wataku nan'ga tu...Yesu tu akauachwa iweje wewe....

Maisha yangu sipangwingwi.

Mind your own business, huyo lemetuz hata akujui acha porojo.
 
Back
Top Bottom