FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Usingizi huo, nimerekebisha.Mama leo umekunywa whisky ya wapi?
Huko bar mnafundishana kuandika ujinga?😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usingizi huo, nimerekebisha.Mama leo umekunywa whisky ya wapi?
Huko bar mnafundishana kuandika ujinga?😁
Sikosei pakuweka R na L. Mengine haya hukosewa na simu, bado simu yangu inajifundisha Kiswahili.Kumbe na wewe hukosea kuandika?
ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki yaWewe ya kwako tunayakua?Sema madhaifu Yako kwanza kabla hujasema ya meingine
familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz
Kwa nn usiseme kweli mpaka afe?Hata huyu mleta mada siku akifa hakuna anayekuzuia kusema ukweli unaomuhusu. Acha vitisho vya kiswahili. Sema ukweli mtu akiwa hai au amekufa.
Mdukuzi umerudi Tena na mada tatanishi 😆Usimuhukumu mtu bila kujua,siku nikiweka Siri ya familia ya Mzee malecrla hapa hata wewe ungekuwa zaidi ya lemutuz.
Lemutus alikuwa na msongo wa mawazo,alijua tu atakufa siku si nyingi
Mimi mwenyewe nimeshangaa wakati Le mutuz alikuwa hanywi pombe
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Halafu mtu anajudge picha za mitandaoni kumbe mwenzao anamake moneyHapo namba nne mara nyingi zile vyakula na hotel yalikuwa matangazo ya biashara, aliwahi kuniambia yeye mwenyewe. Ndugu yangu alimlipa laki Tano kwa tangazooja la chakula na hiyo ilikuwa 2019
Huyo ameeenda bwana tungoje wengine😂😂
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.
Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);
1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)
Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.
Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.
UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.
Huu ndio ukweli halisi. Leo mutuz alikuwa ni mshenzi mwenye umaarufu. Huyu ni chawa mkongwe, na kwa muda mwingi aliishi kwa kujikomba na kujifanya mjuaji. Alikuwa ni mfitini sana.
Basi humfahamu kabisa ni bora usimuongelee kabisa, mtu mpaka ana kitabu na ameeleza historia ya maisha yake humoBaharia wa Nchi kavi km Professor Muhogo Mchungu au baharia yupi ? Sikuwahi kumsikia akijigamba kua yeye ni Seaman, hata siku moja