Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Wewe mtoa mada ni wa hovyo sana lemutuz alikuA mtu mmoja akili kubwa sana alikua ni mtu mwenye pande mbili jokes and hardship wewe akili ndogo ilikua ni vigumu sana kumuelewa [emoji51]

Et una muita wa hovyo shame on you brother
 
Wewe ya kwako tunayakua?Sema madhaifu Yako kwanza kabla hujasema ya meingine
ya kwake hatuyajui sababu hajayaweka wazi, ukiamua kufanya maisha yako ni sehemu ya jamii tuna haki ya

kuyazungumzia-wacha isemwe wazi kwamba huyo zumbukuku hakuwa mfano sahihi ili vijana waliotamani aina ile ya

maisha wajue hakuwa role model mzuri
 
familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz

Hivi Malecela ana heshima kubwa sana nje ya Tanzania ???

Wewe unamheshimu, unamjua, na kumfuatilia Waziri Mkuu Mstaafu wa Malawi wa mwaka 1992 ?? Au wa Ghana au wa Uganda ????? Tutajie jina lake!

Kwa nn Watanzania ndio mnajidanganya kwamba mna viongozi exemplary sana hapa duniani ?

One of the most horrendous banana republics in the world!
 
Mbona Lemutuz Hana tatizo hivi unafikiri Kuna watz wangapi tunatumia Instagram na Katika hiyo Instagram tunamfatilia Lemutuz I guess ur not serious yaani wewe ushidwe kuwa na tabia nzuri kwa influence ya Lemutuz Joke
 
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.

Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);

1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)

Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.

Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.

UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.

Wajinga ndio kazi yako kufuatiria maisha ya wenzao,get a job na uache kuhukumu watu kwa life style zao,usipende kupangia watu maisha.
 
Hapo namba nne mara nyingi zile vyakula na hotel yalikuwa matangazo ya biashara, aliwahi kuniambia yeye mwenyewe. Ndugu yangu alimlipa laki Tano kwa tangazooja la chakula na hiyo ilikuwa 2019
Halafu mtu anajudge picha za mitandaoni kumbe mwenzao anamake money
 
Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi.

Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William Malecela (Le mutuz) alijulikana na kufahamika zaidi kama mtu wa ovyo kwa sifa hizi (sifa ambazo alikuwa akijivunia nazo hadharani mitandaoni na mitaani);

1. Mpenda sifa popote.
2. Mpenda pombe.
3. Mpenda umalaya.
4. Mpenda maisha ya kujirusha na kuponda raha.
5. Mpenda kujipendekeza kwa watu maarufu (chawa)

Le Mutuz japokuwa alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 50, akijaliwa kuwa na watoto, akipambana kwa namna mbalimbali kutafuta kipato, huku akitokea kwenye familia ya mzee Malecela yenye heshima kubwa sana kisiasa na kijamii ndani na nje ya Tanzania, lakini mienendo na tabia za Le mutuz zilikuwa zenye kutia aibu na kinyaa, akiishi kama kijana aliyepevuka juzi, aliyekosa malezi yoyote ya kijamii na kidini.

Japokuwa hayo yalikuwa ni maisha yake binafsi (sio busara sana kuyahukumu) lakini ni vyema kusema ukweli na kuweka angalizo muhimu kwa vijana ambao ndio wamejaa mtandaoni kuwa makini na kukwepa kuiga au kujifunza kupitia maisha binafsi ya Le mutuz ambayo yalijaa anasa na uchafu mwingi.

UKWELI USEMWE KIKAMILIFU.

Ninao uwezo 100% william alikuwa bora kwenye jamii kukuzidi wewe kwa mbali.

Kwanini??

Alikuwa anafanya kile kinachompa furaha as long havunji sheria wala kumkwaza mtu,wewe unaishi kufurahisha watu???
 
Huu ndio ukweli halisi. Leo mutuz alikuwa ni mshenzi mwenye umaarufu. Huyu ni chawa mkongwe, na kwa muda mwingi aliishi kwa kujikomba na kujifanya mjuaji. Alikuwa ni mfitini sana.

Alikufitini kwa nani ukaharibikiwa??

Akina mange mna shida sana.
 
Back
Top Bottom