Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ndio mkuu wapo vizuri sana kwenye ubunifu wa majengo. Sasa je ubunifuWareno wanasifika kwa Iq ndogo ila wako vizuri kwenye ubunifu wa majengo..
Norway, Sweden na Denmark nodic countries kwa hiyo ndio English figure wanayosema watu.Wanawake wengi wakizungu ni wemba wemba sana na warefu hasa wa Norway na ni weupe hadi nywele
Hawana takoz?.Wanawake wengi wakizungu ni wemba wemba sana na warefu hasa wa Norway na ni weupe hadi nywele
Hakuna tabia za jumla katika kabila wala utaifa. Tabia ni individual aspect ya mtu mmoja mmoja kulingana na genetics makeup pamoja na mazingira aliyokulia.Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani
diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani
Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo?
Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa starehe nyingi, Waitaliano
wanajulikana kwa hasira za haraka mfano mchezaji Gatuso enzi zile na Ujerumani huwa
wanajiona ni bora sana na Warusi ni Wabaguzi mno.
Nawasilisha.
Kuna zile zinazokuwa miongoni mwa wengi mfano tukisema Watanzania wengi wana tabiaHakuna tabia za jumla katika kabila wala utaifa. Tabia ni individual aspect ya mtu mmoja mmoja kulingana na genetics makeup pamoja na mazingira aliyokulia.
Wana tabia zipi hususani? na ungezitaja hizo nchi za ulaya Mashariki wengine hawazijui.Wazungu WA ulaya mashariki Ni kama walivyo wana-daresalama wa mburahati, manzese,kigogo na keko
Hao unawaonea......Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili
Ndio ulikuwa hujui.? Putin ni Mzungu yule.Warusi ni wazungu?
Vipi kuhu Ramzan Kadyrov wa Chechnya?Ndio ulikuwa hujui.? Putin ni Mzungu yule.
Dutch = UholanziHao unawaonea......
Ila Dutch people ni wabahili kwisha kazi kabisa na UBINAFSI kama jinsia "ke " ya kitanzania .
Kuna kosa hapo kwenye uandishi wangu? Mheshimiwa wa JFDutch = Uholanzi
Deutsch = Ujerumani.
Hapana mkuuKuna kosa hapo kwenye uandishi wangu? Mheshimiwa wa JF
Unapenda mwanamke mnene sana?Wazungu wapumbavu sana. Waliona wanawake wao ni wembamba na hawana makalio wakanzisha kampeni za kuchukia watu wanene ambapo wanawake wetu wenye miwili ya kiafrika na misambwanda ya kwenda wakangukia humo.
Hadi mashindano ya Miss world, watu wembamba ndio wanapewa nafasi. Kwenye umodel hivyo hivyo na kwenye movie pia.
Matokeo yake wameharibu sana wanawake weusi psychologically yaani mtu akinenepa kidogo TU anahichukia.