Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani
diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani
Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo?
Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa starehe nyingi, Waitaliano
wanajulikana kwa hasira za haraka mfano mchezaji Gatuso enzi zile na Ujerumani huwa
wanajiona ni bora sana na Warusi ni Wabaguzi mno.
Nawasilisha.