TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa


We mleta uzi hebu pitia tena hadithi yako kwa kuzingatia marekebisho katika wino mzito ili hadithi ilete maana...otherwise hii nyimbo ilishapita muda wake miaka mingi sana....
 
Msiyaseme ya chama chetu pendwa!! Huwa hakifanyi makosa. Kimejaa malaika wengi, Lowassa, Mbowe, sumaye.

Hawana tuhuma wala kashfa yoyote.
 
Chama kina miaka 24 tangu kimeanzishwa bado kimepanga bado unadhani hiki chama kina future??
Hata aliyeingia mjini miaka 10 iliyopita akafanya kazi kwa kijituma amejenga na anakaa kwake
CCM imejenga wapi Ofisi hata moja?
 

Antony komu mkurugenzi wa chadema anamiliki mapori makubwa bagamoyo pesa za chama kaziingiza kwenye miradi yake binafsi
 
hili chama la wapiga dili, limekuwa jalala la wapiga dili, ukitaka wakuite msaliti basi toa hoja za kuonesha upotevu wa pesa
 
Niwape pole wale walioingia mkenge wa unazi wa vyama vya siasa.Nawapa pole sana.
 


Ruzuku kwa vyama vya siasa ifutwe na itolewe tu wakati wa uchaguzi. Wanachama wachangie vyama vyao siyo kupiga kelele tu. Waanzishe miradi ya kiuchumi. CCM ndiyo kabisa wafutiwe kwa kuwa wamepora viwanja vyote vya michezo vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi wengi ambao hawana hata vyama.
 
Hivi ile kamati ndogo ya kuhusu Lugumi ndio imekuja taarifa hii. They are joking, sisi tunataka kujua zimefungwa au bado, ruzuku tumalize haya kwanza one after another.
 
Chadema ya sasa ni ccm ya zamani, na chadema ya zamani ni ccm ya sasa..

Chadema walishayavaa magamba ya ccm watanyooka tu.
 
Nili suala la Matumizi mabaya ya fedha za ruzuku lilishawahi kulalamikiwa na marehemu Chacha Wangwe (RIP)
Huyo jamaa aliyeleta uzi huu hadharani, akae chonjo. La sivyo! Shauri yake. Ndugu zake wasije laumu kua hatukutahadhalisha.
 
Matumizi mabaya ya pesa yapo kwenye Ruzuku ya ccm hapa umeandika kinyume tu.
 
Angeliona wapi wakati ni moja ya chama kilishindwa kuwasilisha hati ya mahesabu kwa CAG au hukuiona hii taarifa?
Hawa jamaa ukitaka kuelewana nao, usiwakosoe.
Swali nini kwanini hesabu zao hawjapeleka kwa ukaguzi wa CAG?
Utawasikia mbona CCM hawjapeleka hesabu zao?, kweli huo ndo utetezi kwa mwenye akili timamu? Hovyooo!
 
Post za u DC bado hazijatoka, naona watu na majina yao halisi wafikiriwe kwenye post, mtajikomba sana hata kuonekana mataahira kwa kuchumia matumbo
Huyo ni Lizabon yupo Uvunguni nyumbani kwa Lugumi kajificha akiogopa kudakwa na kitwanga ambaye anamdai mapesa yake ya utetezi kwenye Mitandao.
 
Sasa wewe ya CHADEMA yanakuuma nini lamda

Maana zinazoliwa ni zetu sio za CCM
Chadema ni chama cha kitaifa cha watanzania, Ruzuku inatoka kwenye mapato ya watanzania. Lazima tuone uchungu kama hizi tetesi zinazowekeza ukweli. Kitu muhimu hapa kuhakikisha ukweli wa hizi habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…