TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

Hii mada imeletwa na wana cdm walio na machungu na chama chao
 
Huwezi kujadili jambo moja kila siku.
 
Hii habari itakuwa imehaririwa pale kariakoo Lumumba st.
 


We ni mbwa koko kutoka lumumba
 
Kumbe unatafuta kulipwa fidia baada ya kukosa ubunge?!

Hakika wewe ndie umeelewa vizuri sababu pekee ya huyu mleta uzi na mwathirika wa ubunge.Kama alivyojieleza mwenyewe ni kuwa alikuwa ofisa serikalini kama alitimuliwa au kustaafu anajua yeye.Pia ameeleza alitumia fedha zake mwenyewe kugharamia ugombeaji ubunge ila bahati haikuwa upande wake ila anaamini kura alizopata ziliongeza kwa kiasi ruzuku ya chama hivyo bado anashangaa mbona pamoja na ufisadi anaouona chadema harudishiwi hela alizotumia?Hiyo ndio hoja yake kubwa.Kwake asingejali kutumika vibaya kwa ruzuku kama wangemrudishia gharama aliyotumia kugombea na vivyo hivyo pengine wala asingelalamika humu jukwaani.Huyo ndiye kiongozi tungeletewa kama angeshinda.Sijui kama anao mkataba na chadema kuwa kama hakushinda angerudishiwa gharama zake.Ingetokea akashinda huo ubunge tusingemsikia akilalamika.Ningemshauri yeye na wanaomfanana wapeleke malalamiko yao vikao vya tawi yatapatiwa ufumbuzi na ufafanuzi au watalifikisha suala hili vikao vya juu hadi taifa sio kuwatumia waandishi wa habari.
 
Unajua ruzuku ya chama ni kiasi gani kwa mwezi?kama inatoka mil 200,hiyo ni significant loss kiasi kwamba kwa pesa inayobaki chama hakiwezi kuwalipa watumishi wake!Hizi ni shobo tu na propaganda!CAG angekuwa ameshaliona hili!
Jamaa katoa pumba bila kupiga hesabu Lumumba kuna viroja
 
KUNA VIJANA WATATU MMOJA NI WEWE MNAONGOZA KWA UONGO MNAIDHALILISHA SANA JF.

Hapan wew unapaswa kujiongeza ,hata tuhuma za lowsa kuja chadema mlitokwa na povu wengine wakaenda mbali na kuweka nadhari ,mbalimbali ,kama kutembea uchi ,mara kugawa Tigo endapo lowasa angehamia chadema leo hii ndo mungu wenu
 
Mimi nimeleta ripoti kama ilivyo,wewe unalialia.Jikite kwenye hoja.
Umeleta ripoti ukiwa kama nani? na kutoka kwa nani ?na ili iwe nini?na utanaka tuchangie nini?bahati mbaya hatuna akili za Lumumba,nenda mkahadithiane nyumbani kwenu huko
 
Hapan wew unapaswa kujiongeza ,hata tuhuma za lowsa kuja chadema mlitokwa na povu wengine wakaenda mbali na kuweka nadhari ,mbalimbali ,kama kutembea uchi ,mara kugawa Tigo endapo lowasa angehamia chadema leo hii ndo mungu wenu


HUYO NDO AKILI YAKO INAYEMFIKILIA MUDA WOTE BAHAT MBAYA SINA BANDIKO LA LOWASA HAPA.


ILA HUYO UNAEMZUNGUMZIA KAWA NA SURA MBILI TOFAUT WA CCM NA WA CHADEMA.
 
Mhuu kweli mkuu umetengeneza vizuri Habari yako
 
Hapo
Vielelezo aliweka Kubenea kuhalalisha uhusika wa EL kwenye Richmond akavikana.Habari inapotoka wengi hukimbilia kusema uzushi ila taratibu utaelewa.[/QUOTE
Hapo sasa ndio umeharibu story yako mkuu maana rangi yako halisi imeonekana tayari
 


Mimi mambo ya CHADEMA huwa yananichosha sana...Ile ni taasisi lakini mambo mengi hayaendeshwi kwa kuzingatia taratibu...sijui hata kama wafanyakazi wake wanalipwa mishahara na kodi za serikali ikiwemo ya PAYE kukatwa...na sielewi hata kama kuna wafanyakazi pale ambao michango yao inakwenda kwenye mifuko ya jamii...CHADEMA ni wazuri kuzungumzia maovu ya srikali na CCM, lakini kwao maovu ni mara mia...hakuna demokrasia ya ukweii...LOWASSA 'alichaguliwa' kuwa mgombea wa URAIS kupitia CHADEMA kwa wajumbe wa mkutano kunyoosha mikono huku kukiwa na hofu kubwa kwa yule ambaye hatanyoosha mkono...Li-CCM lina maovu mengi lakini wakati mwingine unasema ni afadhali hili zimwi ulijualo kuliko.... Uozo uliopo kupitia uteuzi wa wabunge kupitia viti maalum ndani ya CHADEMA ndiyo usiseme... i
 
Mapato na matumizi ya ccm hayapo kwa CAG wala hatafahamiki ndiyo maana Magufuli kawagomea kuwapa pesa za Serikali kwa Ajili ya kuendeshea mkutano mkuu wa ccm, pesa yote ya Ruzuku, miladi Michango ya wanachama na pesa Toka chama cha china yoote imeliwa na wajanja na pengine Wewe ni mmojawapo maana inaelekea unaogopa kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…