Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

Does silence "in bag yes?"
 
Wapumbavu kama nyinyi mnaojiona akili kubwa mko wachache sana na platform yenu ni humu humu jamii forums tuu,watanzanua walio wengi hawawezi na kamwe hawataamini story zenu
 
Marais Wana Kinga kama Magufuli angetaka kumkamata Kikwete ilikuwa rahisi kwani alisaini makubaliano ya gesi na mafuta ya Zanzibar ambayo yalikuwa ukiukwaji wa katiba
 
Kwa hiyo wewe kwa unavyomjua JK hawezi kufanya hivyo? Yaani from nowhere tu jiwe ambananishe mtu. Mbona anajua gesi ya mtwara iliuzwa na hatuna chetu iweje asimkamatie hapo
Lete ushahidi kwamba gesi ya mtwara iliuzwa
 
Ukinipa sababu halisi ya Salma Kikwete kuhongwa ubunge viti maalum, nitamshauri Mzee Kikwete aseme neno
 
Sasa ukimya huu wa JK tafsiri yake nini?
Sio kila jambo ni la kujibu
Kinachoonekana hapa ni Kabendera bado ana maumivu ya kuchangia kifo cha mama yake kwa ukaidi wake wa kushindana na dola,kulipelekea yeye kuswekwa rumande na kusababish mamaa kukosa huduma zake mpaka akafariki
 
Ndio maana yule Mzee wa Kisingasinga alikuwa anakondeana sana kumbe Magufuli alikuwa akimvuta Korodani kwa miaka minne?
 

Now that huyo mwendazake hayupo tena, kuna ugumu gani kumtaja huyo mfanyabiashara aliebinywa korodani continously kwa miaka minne?
 
Baada ya tuhuma nyingi juu yahuyu mtu niliamua kujipa muda kupitia hotuba zake, matamko mbali mbali na kujaribu k yahusisha na sifa na lawama juu juu yake. Niligundua kuwa ni sawa kusifiwa na kulaumiwa pia. Anayesifia ana sababu na anyelaumu ana sababu. Kumtukuza sana unaweza kukufuru, na kumsema sana unaweza kukose.
 
Chief umeupiga mwingi na huo ndio ukweli iliyogunduliwa kipindi cha Kikwete ndio inachimbwa saizi maeneo ya Nanguruwe Mtwara vijijini na pia pameletwa watafiti wanaendelea na tafiti maeneo yanayoendelea ukanda huo
 
Bila kupepesa macho ilo jambo linaweza kuwa kweli cos Msoga alikuwa na kundi la matepeli na mpaka kesho anao mfn wakina Papaa Msofe
 
HIVI MKUU KIPINDI ANAINGIA JPM MADARAKANI GWAJIMA AKAWA ANAMSEMANGA JK KWENYE KANISA LAKE KWA KUMUHUSISHA NA WIZI ULISHAWAHI KUPOST KUWA JPM AKANUSHE AU ASIKANUSHE MANENO YA GWAJI BOY......?
 
Hapo Kenya sio Magufuli tu! Mpaka Nyerere alishafungaga mipaka hetu kwa Kenya! Kenya na wanafanya sana ujasusi wa kiuchumi, ukizubaa unaliwa kichwa, nimesikia Rais Ruto majuzi anaomba East Africa kusiwe na Visa unajua target yao wakenya hapo? Mkenya alikuwa anaingia mpaka shamban kabisa kwemda kununua mahindi!
 
Magufuli hakujaa akili na roho ya kishetani tu Bali ya shetani kichaa
 
Tusijitie usahaurifu ungekuwa mkweli ungemwambia JPM nae akanushe sio kwa mzee wa msoga tu
 

Attachments

  • 5080318-109b8173afa8e32ac0c5f6c45963eb20.mp4
    589.9 KB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…