Halijaanza juu acha upuuzi,tunakaa huko mitaani sisi kama watanzania na tunaonana mitaani nani yuko hivi na nani yuko vile wa kabila gani..We unataka kuleta mboyoyo tu hapaHili tatizo lilianza kwa viongozi huko juu . kupandikiza chuki za ukanda...sasa tatizo limeanza kuonekana kwenye jamii ndio maana ume observe ukaleta hii mada. Kwa watalaam wa maswala ya sayansi ya jamii wanaita tragedy of the commons.
Na pia kuna sense inaniambia wewe utakuwa mtu wa kanda ya ziwa kwa hiyo hii mada umeleta technically kwa maslahi yako fulani fulani hivi. Na unavyosema kwamba sijui kanda ya ziwa ni kura ya turufu..una uhakika gani hiyo kanda yote ni ccm?
Uko sawa kabisaAcha kukwepesha maneno watu hao wenye chuki ni wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro na baadhi wa arusha..
Kuna uwezekano kabila hilo lina laana...
Kwaiyo unataka kusema wasukuma ni wengi kuliko watu wote nchinzima embu fikiria makabila 120 wasukuma tuu ndo wawe nusu ya idadi ya haya kweli
Huna akili timamu na haujui waTanzania wamefikia wapi hapa nchini hasa wa kanda ya Arusha na KilimajaroDhana ya hovyo kabisa. Ebu tuletee daftari la wapiga kura hapa tuone. Bila shaka Dar ndio mkoa wenye wapiga kura wengi kuliko pengine popote. Hata hivyo kuleta hoja ya namna hii hasa wakati huu ambao tumeondokea na raisi msukuma ni dhahiri kwamba kuna watu wengi walikuwa kwenye mgongo wake kwa sababu ya usukuma. Huu ndio ukabila wenyewe. Magufuli hili ni jambo moja baya sana aliloliacha na ni bahati mbaya kwamba itachukua muda mrefu kutibiwa.
NI WIVU TU!!wachunge ng'ombe huko kwa utulivu huu sio muda wa porojo,
Wananchi hawataki braa-braa
Mimi ni msukuma lakini huu uzi wako ni 🚮🚮🚮Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Ndugu yangu, nini kifanyike?
Doing nothing is not an option.
Kwamba eti kura zao zinaweza kuamua mshindi,hiyo ni dhana potofu, unaeongea hivyo huna takwimu iliyokamilika kua wasukuma ni asilimia ngapi ya population yote ya Tanzania.Kura za kanda ya ziwa ndio zinaamua mshindi na siku mangosha wakiingia kwenye ushindani wa kimadaraka moja kwa moja itakuwa hatari sana sema uzuri Tanzania tunampigia mtu kura kwa chama si kabila
Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi ukio
ukiona mtu anaringia uwingi wa watu kwamba ndio wanaoamua kura, ujue akili yake ni kama ya ng'ombe. huna akili kabisa. hatutaki ukabila, na cha muhimu sio uwingi wenu, ni akili kichwani. wewe sasa ndio unaounga mkono wanao instigate ukabila nchini, na kwa taarifa yako, hauna akili.Limeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
Ni jambo lisilopingika wasukuma ni wengi kanda ya ziwa na ndio kabila lenye watu wengi. Uchaguzi 2015 kanda ya ziwa ilikuwa timu Lowasa hadi dakika za majeruhi uliingizwa ukabila sijawahi kuona unaingiza mmasai ikulu ili hali mnajua ndio wezi wa mifugo yetu mnafikili akipita hali itakuaje sumu hyo ilisambazwa kwa kuzingatia wingi wa wasukuma lowasa alitandikiwa kanga chini Mwanza Mara na baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa, lakini ndio sehemu alianguka sana kwenye uchaguziLimeibuka wimbi la baadhi ya watu wenye chuki za hovyo tu na wenyeji wa Kanda ya Ziwa hasa wahanga wa hizo chuki ni kabila la Wasukuma.
Lililo baya hata wale wenye ndoto za wao kuwa watawala wa Nchi hii kupitia sanduku kura wameingia kwenye mtego huo jambo ambalo halina afya njema hasa kwa hapo baadae kuja kutimiza ndoto zao.
Nawaonya na kuwataadhalisha hasa wana siasa shime muache mara moja kwa namna yeyote kugombana na watu hao kwa sababu zilizo bayana kabisa wao ndiyo wenye kura za kuamua nani awe nani kulingana na uwingi wao.
uko sahihi nahisi kuna mbinu ya kijasusi inapandwa tokea nje hasa baadhi ya nchi jirani ubaya wetu tunadhani mtu akiandika kiswahili akajiita Mchaga na anatukana Wasukuma ni Mchaga kweli, nadhani walifanya homework wakaona candidate wa hilo ni hayo makabila mawili ,lakini historia inaonyesha kuwa makabila hayo yalikuwa na ushirikiano tangu enzi za Sukumaland Federation kwa nini iwe sasa na hata tukisema tutawale kwa ukabila japo kwa mwaka mmoja kwa kabila ina maana kuwa itachukua miaka120 kwa mzunguko mmoja hiyo ina maanisha kuna wengi watakufa bila kuona kabila lao linatawala kifupi ukabila leo ni upuuzi ambao wafrika umekuwa kikwazo kikubwa leo sudani mamia wameuana kwa ukabila huku wageni wakibeba rasilimaliHalafu lingine la kulifahamu ni kwamba wapiga kura wa nchi wengi wao sio wale wanaojua what actually meant by "political power". Wanapiga tu kura kwa ajili ya huyo kiongozi aliyeletwa na sisiem na kupigiwa kampeni baaaaassiiii.
We kweli matakoKaiacha na nini? Udongo mwekundu ndio mnajivunia?
Mchaga ni nan hapa kwenye hii postKwa nini wanaocomplain sana ni wachaga tu? Mbona wanyakyusa kabila kubwa ila wamechill tu...
Wachaga wana uspesho gani?