Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

Eti mwanaume hakosi soko, hehe acha uongo, mwanaume una miaka 47, binti gani wa miaka 21 atakubali kuolewa na wewe, bila hela? Amehlo
Unaishi Dunia gani kiongozi, niliwahi shuhudia ndoa ya Mzee, nafikiri alikuwa anaelekea ku- retire na binti ambaye nilimkadiria siyo over 20, ndoa ya kanisani ( kanisa) ninalosali, miaka hiyo nilikuwa kidato cha tati, nikajiuliza huyu binti amekosa nini hadi anaolewa na mzee kiasi hiki! Baada ya hapo nimezishuhudia ndoa nyingi sana hasa vijijini kwa sababu nilikuwa na- enjoy sana kushuhudia watu wakifunga kamba za maisha, kwangu iligeuka kuwa hobby, vijijini harusi unahudhuria hata kama huna kadi na msosi unagonga.
 
Nilivyokuwa na miaka 15nilikuwa natongozwa mara 2-4 Kwa siku,Sasa nina 40 natongozwa mara 0-1 Kwa mwezi....eti Kwa Nini?
Ulipokuwa na miaka 15 friction was at its best, sasa hivi friction imepungua, mbili ulipokuwa na miaka 15 hukuwa wa gharama sana (mahitaji yako yalikuwa kidogo) sasa hivi watu wanaogopa kubebeshwa majukumu mazito.
 
Copy that, over

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 

Kama Gigy money hali yake sasahivi, naona kambisa anaelekea kuchizika, maana kila mtu anaetaka kuwa nae hawamtaki, juzi katangaza kuwa anamtaka platform_Tz ametolewa nje, Gigy money ni single mother anaetaman sana kuolewa lakn hapati bahati [emoji23]
 
Jamaa ulikuwa mtundu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…