Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Meshack Maganga RIP
Phares Kashemeza Kabuye RIP
Jenerali Twaha Ulimwengu
Sebastian Rukiza Kinyondo RIP

Enzi hizo bunge linafanyikia pale Karimjee Hall, wabunge karibu wote wanavaa kaunda suti, halafu kwenye kurasa za magazeti ya siku inayofuata, kuna picha za wabunge wakiwa wamekaa kwenye yale mabenchi nje ya ule ukumbi.

Those are good gone days, we can't bring them back.
 
Juma jamaldini akukweti,ramadhani mwinshehe ukiwaona ditopile wamzuzuri.
 
Peter Kyulule
 
Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, Jullie Manning, Ng'itu
 
 
ni ningependa sana kupata wale miamba wakuu yaani G48 kama sijakosea, wale wapinzani ndani ya Bunge enzi za mwalimu.
nafikiri kiongozi wao alikuwa Njeru Kisaka, si na uhakika kama sitta alikuwapo ndani, mwenye data - ni kujikumbisha tu sina jingine.
Haikua enzi ya Mwalimu ilikuwa 1994 kama sijakosea, ilikuwa ni G55' Ambao kwa uchache ni Njelu Mulugala Kasaka, William Mpiluka RIP, Jenerali Ulimwengu, Tuntemeke Sanga, na wengineo ilikuwa ni baab kubwa
 
Haikua enzi ya Mwalimu ilikuwa 1994 kama sijakosea, ilikuwa ni G55' Ambao kwa uchache ni Njelu Mulugala Kasaka, William Mpiluka RIP, Jenerali Ulimwengu, Tuntemeke Sanga, na wengineo ilikuwa ni baab kubwa
Mateo Qares,Philip Marmo
 
Semindu pawa,Sukwa Said Sukwa,Hashim Sagaarf,Festo Makune,
 
Said Maswanya(Urambp-Tabora)
Mzee Misigalo(Tabora mjini)
Wote Wametangulia mbele ya haki(Marehemu)
 
Kamaliza
Chief Humbi Ziota(Igunga)
Wote wametangulia mbele ya haki(Marehemu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…